Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. Diarra uso kwa uso tena na Percy Tau AFCON 2023

    Kipa namba moja wa Yanga Djigui Diarra ameanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya Taifa ya Mali ambacho kitaivaa Afrika Kusini usiku huu. Diarra anakutana tena na mshambuliaji wa Al Ahly...

  2. Yanga yashusha chuma kutoka Ivory Coast

    Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Joseph Guédé Gnadou akiwa mchezaji huru baada ya kuachana klabu ya Tuzlaspor ya Uturuki. Mshambuliaji huyo mwenye...

  3. Simba yashusha Straika wa Ivory Coast Kramo, Phiri kikaangoni

    Klabu ya Simba imenasa saini ya mshambuliaji Freddy Michael Kouablan raia wa Ivory Coast akitokea Green Eagle ya Zambia. Kouablan (25) katika msimu wa 2023/24 amecheza mechi 17 na kufanikiwa...

  4. Inonga, Mayele uhakika Afcon 2023

    Beki kisiki wa Simba, Henock Inonga na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele anayekipiga Pyramid FC ya Misri, wamepenya kwenye kikosi cha mwisho wachezaji 24 wa timu ya taifa ya DR Congo...

  5. Ishu ya Katiba, Simba yaita wanachama

    KLABU ya Simba inatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa Mwaka, Januari 21 mwakani, huku ikiwaita wanachama wa klabu hiyo kutoa mapendekezo kwa ajili ya marekebisho ya katiba kama agizo la Baraza la...

  6. TPLB yaahirisha mechi saba za Simba, Yanga na Azam

    Bodi ya Ligi imetangaza kuhairisha mechi saba za Ligi Kuu zilizopangwa kupigwa kuanzia Desemba 26, mwaka huu ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) na timu ya...

  7. TFF kuziondoa Simba, KMC Uwanja wa Uhuru

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na Sheria ya mpira wa miguu. Taarifa hiyo...

  8. Pacome, Sankara wachuana mbio za ufungaji CAFCL

    Pacome Zouzoua ameendelea kuongeza akaunti ya mabao kwa kufikisha matatu nyuma ya Sankara Karamoko wa Asec Mimosas mwenye mabao manne, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga iliibuka...

  9. Kiungo Mamelodi amjibu Mayele

    Baada ya ushindi wa bao 1-0 wa Mamelodi Sunsowns dhidi ya Pyramids FC iliyokuwa nyumbani kwenye Uwanja wa June 30, Cairo, Misri, mchezo wa nne wa kundi A, Ligi ya Mabingwa Afrika, kiungo wa...

  10. ASEC yaifungulia Simba njia Caf

    Matumaini ya Simba kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi B yamezidi kuwa hai baada ya ushindi wa Asec Mimosas ya Ivory Coast wa mabao 3-0 dhidi ya Jwaneng Gallaxy ya...

Previous

Page 3 of 17

Next