UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Simba imekosea wapi tena msimu huu?
NIMETAZAMA msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi 28, sijaona ubovu wowote wa Simba. Nimetazama uwiano wa mabao ya kufunga na kufungwa, bado Simba inaonekana kuwa timu bora nchini. Ukitazama...