Nascimento afariki dunia usingizini BONDIA wa mchezo wa mapambano mchanganyiko (UFC), Allan Nascimento, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 34 baada ya kudaiwa kupata mshtuko wa moyo akiwa amelala.
Fenerbahce yatia maguu kwa Rashford FENERBAHCE ipo tayari kutumia fedha nyingi kumshawishi mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 28, kuhamia Uturuki msimu huu wa kiangazi.
Serena, Venus kurejea Cincinnati MASTAA wakongwe wa tenisi, Serena na Venus Williams wanatarajiwa kucheza mashindano ya Cincinnati Open katika mchezo wa wawili wawili mwezi huu baada ya kupewa nafasi maalumu (wild card).
Man United yaingia anga za Simba Manchester United imefuata nyayo za Simba SC baada ya kutangaza rasmi kampuni ya Betway kuwa mdhamini mpya wa jezi za mazoezi za klabu hiyo, kampuni ambayo tayari ni mshirika mkuu wa miamba ya...
Chelsea yakodi ndege ya Sh1 trilioni CHELSEA imeweka wazi ukubwa wake nje ya uwanja baada ya kukodi ndege ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya Sh1 trilioni kwa ajili ya ziara yake ya maandalizi ya msimu wa 2026/27.
Kama Infantino akiondoa? hawa kumrithi FIFA SHINIKIZO dhidi ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino, linaendelea kuongezeka huku baadhi ya vyama vya soka duniani vikianza kuondoa barua zao za kumuunga mkono kuelekea uchaguzi mkuu wa Machi mwakani.
Fenerbahce yamtaka Rashford KLABU ya Fenerbahce ya Uturuki ipo tayari kuvunja benki ili kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, katika moja ya usajili mkubwa unaotarajiwa kufanyika dirisha hili la...
Real Madrid, RB Leipzig zarudi mezani Real Madrid na RB Leipzig zimerejea mezani kuendelea na mazungumzo kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji wa Ivory Coast, Yan Diomande, huku pande zote zikionyesha matumaini ya kufikia makubaliano...
Magori, Mangungu wazika tofauti Simba, waelekeza nguvu msimu mpya Viongozi wakuu wa Simba, Crescentius Magori na Murtaza Mangungu, wameamua kuweka kando tofauti zao na kuahidi kushirikiana kwa maslahi ya klabu, kufuatia kikao cha Bodi ya Wakurugenzi...
Wachezaji 46, Alonso ana kazi nzito Chelsea KOCHA mpya wa Chelsea, Xabi Alonso, anakabiliwa na moja ya changamoto kubwa zaidi tangu aanze kazi Stamford Bridge baada ya kujikuta akisuka kikosi chenye jumla ya wachezaji 46 wa timu ya kwanza,...