2024 ulivyokuwa shubiri kwa Gamondi, Benchikha na Aussems
Mwaka 2024 unakwenda ukingoni, ukiangalia mshikemshike wa Ligi Kuu Bara umekuwa na mambo mengi. Katika kipindi cha mwaka mzima kuanzia Januari 2024 hadi Desemba 2024, timu 17 za ligi hiyo kati ya...