Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24727 results for tanzania :

  1. Dar Kings yaipasua Arusha Ligi ya TCA

    KOMBAINI ya Dar Kings imeanza kwa kishindo Ligi ya TCA U-17 kwa kuisambaratisha Arusha Kings kwa mikimbio 162 katika viwanja vya UDSM, jijini Dar es Salaam.

  2. KIJIWE CHA SALIM: Jamatini alipoingia golo

    KILA ninapofika Moshi yapo mambo yanayonikumbusha visa na mikasa nilivyokutana navyo kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1960 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1970.

  3. Ligi Kuu Bara namba zinaongea

    LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa kuchezwa mechi mbili ikiwa ni raundi ya 14 tukielekea kuugawa msimu. Baada ya kumalizika kwa raundi hii, tunabakiwa na moja ambayo imekuwa na...

  4. PRIME Fadlu atangaza mkakati mpya Simba

    KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi hesabu zake kimbinu katika mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa utakuwa tofauti na...

  5. PRIME Mastaa Yanga wamtibua Ramovic, atoa msimamo mkali dirisha dogo

    TATHMINI ya mitaani pamoja na mitandaoni inaonyesha mashabiki wa Yanga wamekosa imani kutokana na matokeo ya siku za hivi karibuni kwenye michuano mbalimbali.

  6. JKT TZ yavimbia rekodi nyumbani

    MAAFANDE wa JKT Tanzania wataikaribisha Pamba Jiji leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, huku wakijivunia rekodi waliyonayo  ya ushindi kwa asilimia...

  7. COSMAS CHEKA: Tunauza sana mapambano nje

    Cosmas ni mdogo wa bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’ ambaye amekuwa na rekodi kubwa kimataifa zaidi ya kaka yake lakini hatajwi.

  8. Samatta katika njia ya Ronaldo

    WAKATI mwingine maisha hulazimisha kufanya maamuzi magumu, hata kama moyo hautaki. Miaka miwili nyuma, mshindi mara tano wa Ballon d’Or, Cristiano Ronaldo, alilazimika kuondoka Manchester United,...

  9. Simbu akwama Kawata Mlugu akishinda, Nyambui kesho

    Wakati mwanariadha Alphonce Simbu akikwaa kisiki kwenye uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji (Kawat), Judoka Andrew Thomas Mlugu ametawazwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kamisheni hiyo.

    Simbu Pict
  10. PRIME PUMZI YA MOTO: Miaka 10 ya Zimbwe Jr ndani ya Simba SC

    JUNI 23, 2014, mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (sasa marehemu), alitangaza kumsainisha nyota wa miaka 18 kutoka Kagera Sugar, Mohamed Hussein 'Tshabalala'.

    Zimbwe Pict
Previous

Page 179 of 2473

Next