Polisi Tanzania yaipiga mkwara Mbeya City LIGI ya Championship inatarajiwa kuendelea tena kesho Ijumaa kwa timu za Polisi TZ kuwa weageni wa Mbeya City, huku wenyeji wakipigwa mkwara mzito kwamba lazima wapasuke licha ya kucheza nyumbani...
Minziro atoa msimamo usajili wa Yondani, Kaseke WAKATI Pamba Jiji ikihusishwa kuwanasa Kelvin Yondani, Deus Kaseke na Habib Kyombo, kocha wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ amefunguka juu ya usajili huo, huku akisisitiza kwamba klabu hiyo...
Vijana wazidi kuonyeshana kazi JMK Park MASHINDANO ya kikapu kwa timu za vijana yamezidi kushika kasi na Juhudi imeitambia Stone Town ya Zanzibar kwa pointi 20-9 kwenye viwanja vya Kituo cha Michezo cha JMK Youth Park.
Tanzania yakumbushwa kujipanga Olimpiki 2028 MAKATIBU wakuu wa vyama vya michezo vinavyoshiriki Olimpiki wametakiwa kuanza kuweka mikakati ya maandalizi ili timu zao ziweze kushiriki kwenye Olimpiki ya 2028.
Simba yafufua kesi ya Lawi BAADA ya tetesi kuibuka kuwa beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anatajwa kujiandaa kutua Yanga, mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi dhidi ya mchezaji huyo katika ofisi za Shirikisho...
Manula afichua siri nzito Simba akimtaja Camara NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano au sehemu nyinginezo.
Yaliyobamba 2024: Vipigo 11 vilivyotikisa mwaka huu LICHA ya kutemeshwa kibarua, aliyekuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi atabaki kwenye mioyo ya Wananchi kwa kile alichokifanya akiwa na timu hiyo kutokana na rekodi nyingi za nguvu akitoa dozi za...
Straika Azam fc ataja mavitu ya Mwihambi MSHAMBULIAJI wa Azam, Nassor Saadun ameshindwa kujizuia na kumtaja beki wa Tanzania Prisons, Vedastus Mwihambi ni ‘mtu kazi’ kati ya mabeki aliokumbana nao katika mechi za Ligi Kuu Bara hadi...
SPOTI DOKTA: Misosi inayoleta ahueni ya misuli kwa wachezaji NI jambo la kawaida kwa mchezaji aliyetoka katika mechi ngumu za katika ya wiki zile za Ligi ya Mabingwa Afrika CAF au zile UEFA kupata maumivu ya ndani kwa ndani.
Okejepha afunguka kuhusu Osimhen, Lookman KIUNGO mkabaji wa Simba, Augustine Okejepha ameanza kufurahia maisha ndani ya kikosi hicho tangu asajiliwe msimu huu akitokea Rivers United ya kwao Nigeria, huku akiweka wazi amekuja nchini...