Kocha Barca kichwa kinauma KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anakabiliwa na kibarua kigumu cha uchaguzi wa kikosi kabla ya mtanange muhimu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain.
Nwabali: Super Eagles itatwaa ubingwa AFCON 2025 Kipa wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, Stanley Nwabali amesisitiza kuwa kikosi chao kina uwezo mkubwa wa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.
Zanzibar International Marathon ni Novemba 23 MASHINDANO ya kukimbia yaliyopewa jina la Yas Zanzibar International Marathon yamepangwa kufanyika Novemba 23 Novemba 2025 yakiwa na kauli mbiu ya “Kila Hatua ni Special.”
Wawili watia presha Arsenal MASTAA Martin Zubimendi na Ben White wanampa presha kocha Mikel Arteta baada ya kudaiwa kuwa majeruhi wakati kikosi cha Arsenal kikijiandaa na mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Fulham.
Pogba, Monaco mambo yanazidi kuwa magumu KIUNGO Paul Pogba bado hajacheza mechi yoyote kwenye klabu yake mpya huko AS Monaoc, lakini huenda asipate kabisa nafasi ya kucheza chini ya kocha aliyemnunua huko Stade Louis II.
Nairobi United yawazima mabingwa wa zamani wa CAF WAWAKILISHI wa Kenya katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Nairobi United jioni hii imewaduwaza mabingwa wa zamani wa Afrika, Etoile du Sahel ya Tunisia kwa kuichapa mabao 2-0.
Offset: Nilimsaliti Cardi B, ila sio na Saweetie RAPA maarufu, Offset amevunja ukimya kuhusu uvumi unaomhusisha na msanii Saweetie, akikanusha vikali madai kuwa aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mrembo huo.
Zubimendi afichua alivyotua Arsenal, amtaja Arteta KIUNGO, Martin Zubimendi amefichua kwamba simu moja tu aliyopigiwa na kocha Mikel Arteta ilimfanya ashawishike na kwenda kujiunga na Arsenal kwenye uhamisho wa dirisha lililopita.
Guehi, FC Bayern Munich kuna jambo MAWAKALA wa beki wa kati, Marc Guehi wameripotiwa kukutana na mabosi wa Bayern Munich kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wa bure kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya kufanya uamuzi...
Huyu ndiye Dimitar Pantev, kocha mpya Simba Ndani ya muda mfupi kuanzia sasa, Simba itamtambulisha Dimitar Pantev kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco.