Simba, Namungo washikilia ratiba ya Mapinduzi Cup WAWAKILISHI wa michuano ya kimataifa nchini, Simba na Namungo FC ndiyo wameshikilia upangaji wa ratiba ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi, ingawa tayari zimethibitisha ushiriki wao.
FCC yaanza uchunguzi mabadiliko Simba Tume ya Ushindani (FCC) imeanza uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba ambao inawahusu wadaawa watano.
Ibenge atajwa Azam WAKATI Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal...
Azam yamsaka kiungo wa Power Dynamos MATAJIRI wa Ligi Kuu Bara, Azam FC wanaendeleza kuimarisha kikosi chao kwa kuwaongezea mikataba baadhi ya wachezaji muhimu ambao inamalizika pamoja na kuingia sokoni kuangalia wale wapya ambao...
PRIME Robertinho ataka wiki tano Simba Kama kuna kitu mashabiki wa Simba wanasubiri basi ni kujua nyota wao wapya wa msimu ujao, lakini kocha Robert Oliveira 'Robertinho amebainisha kuwa watu washasajiliwa na wiki tano zinatosha kwake.
Simba yaandika rekodi Al Ahly ACHANA na rekodi za kuwafunga kila mara wanapokanyaga kwenye Uwanja wa Mkapa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba imeandika rekodi nyingine dhidi ya Al Ahly ya Misri. Luis Jose waliyemuuza kwa...
Manara aibua jambo dhidi ya Senzo HAJI Manara, aliyekuwa ofisa habari wa Simba amedai kuwa mtendaji mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mbatha aliajiriwa ili amfukuze kazi. Haji alibwaga manyanga ndani ya Simba baada ya kutokuwa na...
PRIME Malone aingia anga za Simba KLABU ya Simba iko kwenye mazungumzo na CotonSport ya Cameroon ili kupata saini ya beki wa kati, Che Fondoh Malone. Beki huyo anatajwa kuhitajika na miamba hiyo hapa nchini kwa ajili ya kuongeza...
TFF yamjibu Manara KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais...
Ishu ya Chama kwenda Yanga iko hivi Kiungo wa Simba Clatous Chama anayemaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu ametajwa kuhusisha na Yanga, zikiwa zimebaki wiki chache kabla msimu haujamalizika.