Yacouba: Narudi kazini YANGA imepokea taarifa njema baada ya mshambuliaji wake, Yacouba Sogne kutamka hadharani kwamba sasa yuko sawa kurejea kazini ndani ya kikosi cha timu hiyo.
Siku tatu ngumu kwa TFF BAADA ya mchujo wa awali kupita na mbivu na mbichi kujulikana sasa wagombea wa nafasi mbalimbali za uchaguzi wa TFF wanaingia katika siku tatu ngumu za mapingamizi. Kuanzia leo Jumamosi hadi...
Msolla atolewa uwanjani chini ya ulinzi Wakati mashabiki wa Yanga wakichukizwa na matokeo ya sare ya mabao 3-3 hasira zao zilielelekezwa kwa Mwenyekiti wa klabu Dk Mshindo Msolla. Tukio hilo lilijiri dakika chache mara baada ya...
Simba, Yanga zatoa salamu za pole ajali ya ndege Bukoba Hadi sasa jumla ya watu 19 wamefariki dunia huku wengine wakiokolewa wakiwa na majeraha mbalimbali na tayari wanaendelea kupatiwa matibabu mkoani humo.
PRIME Kilichomng'oa Msemaji KMC BODI ya Wakurugenzi ya KMC imemwondoa Msemaji wa timu hiyo, Christina Mwagala kwenye nafasi hiyo na kile kilichomng’oa kikiwekwa sirini, huku klabu ikiwa tayari imeanza mchakato wa kusaka msemaji...
VIDEO: Manara aikataa hukumu ya TFF Siku kadhaa baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumfungia msemaji wa Yanga, Haji Manara kufungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 2 na faini ya Sh20 milioni kwa kukutwa na hatia ya kumtolea maneno...
Manara avuruga mashabiki Unguja BAADHI ya mashabiki wa mpira wa miguu Unguja wamesema msimu wa 2021-2022 wa Ligi Kuu Bara hautakuwa na msisimko mkubwa kutokana na kung’atuka kwa aliyekuwa msemaji wa Simba,Haji Manara. Haji...
Watoto wa Mr. Ibu waiba pesa za matibabu ya baba yao Onyeabuchi Okafor ambaye ni mtoto wa kiume wa muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr Ibu na mtoto wa kike wa kuasili aitwaye Jasmine Okekeagwu, wamedakwa na Polisi nchini...
Hizi hapa Sajili za Ligi Kuu Bara Dirisha la usajili msimu huu likielekea kufungwa usiku wa leo timu nyingi za Ligi Kuu Bara zimeshakalimisha baadhi ya sajili huku zingine zikipigana vikumbo bado sokoni.
Mashine ya Gambia kumn'goa Phiri Simba? Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho kumalizana na mshambuliaji Pa Omar Jobe kutoka Gambia. Mwanaspoti linafahamu Simba itamtambulisha Jobe wakati wowote leo mchana akija maalum kwa kazi ya...