Diarra, Ahmad Ali vipanga wa Ligi Kuu Bara Septemba Bodi ya Ligi Kuu Bara imewatangaza washindi wa mwezi Septemba kwenye ligi hiyo kwa upande wa kocha na mchezaji.
Haaland amwaga mboga STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland amesema kuwa timu yake sio nzuri vya kutosha baada ya kushindwa kupata ushindi katika mechi yao ya tano mfululizo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ishu ya kocha mpya Simba, uongozi wafunguka Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa na subira juu ya hatima ya benchi lao la ufundi baada ya kuondokewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.
Watatu Liverpool kuikosa Chelsea kesho KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amethibitisha kuwa mlinda mlango Alisson Becker hatakuwepo kwenye mechi ya EPL dhidi ya Chelsea itakayopigwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Pantev aaga Gaborone, aanza safari ya kutua Simba BAADA ya kuwepo kwa taarifa za Kocha Mkuu wa Gaborone United, Dimitar Pantev kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa kuiongoza Simba, mapema leo asubuhi ameaga rasmi.
Saliba aifungia vioo Real Madrid BEKI kisiki wa Arsenal, William Saliba ameifungia vioo Real Madrid na kuamua kufikia makubaliano ya kusaini mkataba mpya na washika mitutu.
Maresca awaka, mabosi waingia vyumbani KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amewaambia wachezaji wake waache kutoa zawadi kwa timu pinzani baada ya kumaliza pungufu kwa kuonyeshwa kadi nyekundu katika mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu England.
Polisi Kenya yapasuka, ila yasonga mbele MABAO mawili ya Mogadishu City ya Somalia yameweza kuizima Polisi Kenya ikiwa ardhi ya nyumbani, lakini haikuweza kuisaidia kuing'oa katika mechi ya marudiano ya raundi ya jkwanza ya Ligi ya...
Misri yafuzu Kombe la Dunia, Cape Verde yacheleweshwa Misri imejihakikishia tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Djibouti katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Larbi Zaouli...
JKT Queens yaahirisha kambi ya Uturuki, sababu yatajwa OFISA Habari wa JKT Queens, Masau Bwire, amesema klabu hiyo imeahirisha kuweka kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika upande wa wanaawake itakayofanyika...