Infantino atwishwa kashfa ya mapenzi UEFA RAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amekanusha madai kwamba Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) lilimlipa fedha mfanyakazi wa kike aliyedaiwa kuwa na uhusiano naye wa...
Sheria mpya tatu za Jose Mourinho Real Madrid KOCHA mpya wa Real Madrid, Jose Mourinho ameanzisha sheria mpya tatu ili kuimarisha nidhamu, ambapo zitamgusa kila mtu aliyepo kwenye kikosi hicho wakiwamo wasaidizi wake wa benchi la ufundi...
Shalulile, mfalme wa mabao anayeishi kifahari MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Peter Shalulile amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania akiwa na hadhi ya mmoja wa washambuliaji wakubwa kuwahi kutokea Afrika Kusini, si kwa mabao pekee bali pia kwa...
Jaylen Brown anaiwaza Celtic akilenga ubingwa 76ers JAYLEN Brown alipigiwa simu na kuambiwa Boston Celtics, timu iliyomchagua akiwa kijana na ambayo alikulia hadi kuwa MVP wa fainali za Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) na bingwa ilikuwa imemuuza. Na...
Simba Day 2026, vaibu la miaka 90 MIAKA 90 ya klabu ya Simba inaadhimishwa leo Jumamosi Agosti 8, 2026 katika kilele cha Simba Day, tamasha litakalofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam huku likitarajiwa kuwapo kwa vaibu...
Beki Simba Queens aanza kuona mwanga BEKI wa kushoto wa Simba Queens, Hellen Kutsanedzi amesema bao alilofunga katika mechi ya kirafiki dhidi ya Zesco Ndola Queens ya Zambia ni sehemu ya maandalizi kuelekea tamasha la Simba Day...
Mo awataja Okwi, Phiri Simba MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amesema Simba wamepita wachezaji wengi bora, lakini kwake kuna baadhi ambao anaweza kuwakumbuka kwenye maisha yake yote.
KISIWA CHA MAUTI - 11 utulivu. “Msichana gani?” Edda akamuuliza kwa pupa. “Ni mfanyakazi wetu. Hilo tukio mimi pia nilijulishwa nikiwa nyumbani. Lilitokea usiku na lilijulikana asubuhi.” “Aliyefanya hayo mauaji...
Yanga, Simba, Singida BS safari inaanzia hapa Kimataifa DROO ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2026-2027 iliyochezeshwaleo Alhamisi, Agosti 6, 2026, imezipa njia ya mteremko Yanga na Simba kutinga hatua ya makundi ya mashindano...