Nyota Barca aichomolea Man United MANCHESTER United imepata majibu kuhusu uwezekano wa kiungo chipukizi wa Barcelona, Marc Bernal, kujiunga nayo katika dirisha hili la usajili, baada ya kuikataa timu hiyo.
FIFA yaondoa nyota jezi ya Misri Kombe la Dunia Kampuni ya Puma, inayotengeneza jezi za Misri, imelazimika kufanya marekebisho ya haraka ili kufikia masharti hayo kabla ya mchezo wa kwanza.
Inter Milan yatwaa ubingwa wa Copa Italia Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia ‘Seria A’, Klabu ya Inter Milan imeendelea kufanya kweli safari hii ikitwaa Kombe la Copa Italia baada ya...
Kipa azichanganya Liverpool, Chelsea CHELSEA na Liverpool zinadaiwa kuwa katika vita kali ya kuiwania saini ya kipa wa Sunderland, Robin Roefs dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Masharti ya Mourinho yakubaliwa Real Madrid REAL Madrid imeripotiwa kukubali masharti yote magumu ya kocha José Mourinho ili kufanikisha safari yake ya kurejea klabuni hapo.
Luka Modrić kuiongoza Croatia Kombe la Dunia 2026 Nahodha na kiungo Luka Modrić amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Croatia kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2026.
Hakuna namna! Mastaa kibao kuuzwa Liverpool LIVERPOOL inajiandaa kuuza baadhi ya wachezaji wao tegemeo dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kufidia kiasi kikubwa ilichotumia katika usajili wa mastaa kwa miaka miwili iliyopita.
Pigo Arsenal, Madueke aondoka kwa kuchechemea! ARSENAL imezidi kupata pigo kubwa la majeraha baada ya Noni Madueke kulazimika kutoka uwanjani katika mechi yao dhidi ya Sporting Lisbon.
Guardiola: Hata tukishinda Arsenal, ubingwa bado mbali KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameeleza kuwa hata kama timu yake itashinda mechi muhimu dhidi ya Arsenal leo haitakuwa timu inayopaswa kupigiwa hesabu zaidi kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
Varane awindwa Singida BS MABOSI wa Singida Black Stars, wameanza mchakato wa kumfuatilia beki wa kati wa Police FC ya Rwanda, Mghana Issah Yakubu ‘Varane’, ili kuipata saini yake mapema, baada ya menejimenti ya nyota...