Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9663 results for Mwandishi :

  1. Harry Kane anaua tu, aweka rekodi hii

    STAA wa Bayern Munich, Harry Kane ameweka rekodi baada ya kufunga mabao mawili katika mechi ya Bundesliga dhidi ya Werder Bremen na kufikisha jumla ya mabao 500 tangu aanze kucheza soka la kulipwa.

    KANE Pict
  2. Slot, Mo Salah kumaliza ishu yao kwa mazungumzo

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amefichua kwamba atafanya kikao cha ana kwa ana na Mohamed Salah ili kufahamu msimamo wa mwisho kama atacheza mechi ya mwisho kwenye kikosi hicho cha Anfield.

    SLOT Pict
  3. Arteta ataja janga jingine huko

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Arsenal imepata pigo jingine la majeraha baada ya staa wao aliyesajiliwa katika dirisha lililopita la majira ya kiangazi, Cristhian Mosquera...

  4. Man United yashusha bili ya mishahara

    BILI ya mishahara ya Manchester United imeshuka kwa hesabu za robo ya kwanza ya mwaka wa fedha.

    MAN Utd Pict
  5. New Caledonia, Jamaica kuamua DR Congo kushiriki Kombe la Dunia 2026

    DR Congo itasubiri mshindi kati ya New Caledonia na Jamaica ili kucheza nayo katika mechi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 kupitia mchujo wa mabara (inter-confederation play-offs).

    DR CONGO Pict
  6. Carrick alalamikia waamuzi kipigo dhidi ya Leeds

    Kaimu Meneja wa Manchester United, Michael Carrick ameshambulia uamuzi wa marefa kuwa ndio chanzo cha kupoteza kwa mabao 2-1 mchezo wa jana Jumatatu, Aprili 15, 2025 nyumbani dhidi ya Leeds United.

  7. Abdul Kakwaya atamba kufanya makubwa BDL

    NYOTA wa kikapu, Abdul Kakwaya amesema kwa sasa anasikilizia timu itakayohitaji huduma yake huku akiendelea kujifua kwa ajili ya ligi ya DBL.

    KAKWAYA Pict
  8. Arsenal kufungua dimba na Coventry City Premier League

    Ratiba ya Ligi Kuu England 2026/2027 imetolewa rasmi leo Ijumaa, Juni 19, 2026 ikitarajiwa kuanza Agosti 21, 2026 na kumalizika Mei 30 mwakani.

  9. Uturuki waomba radhi kutolewa Kombe la Dunia

    Kiungo wa Uturuki, Arda Guler amewaomba radhi mashabiki wao kufuatia kuondolewa mapema kwa timu yao ya taifa katika Fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Mexico, Marekani na Canada.

  10. Barcelona ‘yajilipua’ kwa Harry Kane

    BARCELONA wamewasiliana na wawakilishi wa Harry Kane ili kuchunguza uwezekano wa kumsajili nahodha huyo wa England.

    BARCA Pict
Previous

Page 151 of 967

Next