Kiungo England ampa ujauzito binti wa kocha wake Kiungo wa Sheffield United, Oliver Arblaster na binti wa kocha wake, Martha Elizabeth Wilder wamethibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto kutokana na uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu kwa muda...
Marie-Louise Eta kocha wa Union Berlin, aandika historia Bundesliga UNION Berlin imemteua Marie-Louise Eta kuwa kocha hadi mwisho wa msimu kufuatia kipigo dhidi ya Heidenheim, ambapo anakuwa kocha wa kwanza mwanamke kufundisha timu ya Ligi Kuu Ujerumani...
Raphinha, Fermin mtegoni Barcelona INGAWA hakupata hata dakika moja ya kucheza, kiungo wa Barcelona, Raphinha Dias alikuwa miongoni mwa wakosoaji wakubwa baada ya chama lake kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na Atletico...
KMC yapata pointi baada ya siku 70 WABURUZA mkia katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, KMC, hali yao sio nzuri huku wakiendelea kupambana kuepuka kushuka daraja.
Joshua aanika sababu za kukataa ‘Face-Off’ na Fury MVUTANO wa muda mrefu kati ya mabondia wakubwa wa Uingereza, Anthony Joshua na Tyson Fury, umeingia sura mpya baada ya Joshua kueleza sababu zilizochochea kukataa kuzichapa na mpinzani wake huyo...
Kadi nyekundu zaitega Man United EPL KOCHA wa muda wa Manchester United, Michael Carrick ametoa lawama kali kwa mwamuzi wa kati Paul Tierney kumpa kati nyekundu beki wa kikosi hicho, Lisandro Martinez dhidi ya Leeds United akidai...
Kwa Casado ni ofa tu zinasubiriwa Barca WAKATI msimu unakaribia kumalizika na tetesi za uhamisho zimeanza kusikikaa, Marc Casado ni mmoja wa wachezaji ambao hawana nafasi ya uhakika katika msimu ujao kwenye kikosi cha Barcelona.
Abdul Kakwaya atamba kufanya makubwa BDL NYOTA wa kikapu, Abdul Kakwaya amesema kwa sasa anasikilizia timu itakayohitaji huduma yake huku akiendelea kujifua kwa ajili ya ligi ya DBL.
Rooney aishauri Arsenal kucheza kibabe kuizuia Man City GWIJI wa Ligi Kuu England na Manchester United, Wayne Rooney amewashauri wachezaji wa Arsenal 'kucheza kwa nguvu na kibabe' ili waweze kuifunga Manchester City katika pambano muhimu la ubingwa wa...