Masharti ya Chelle kupelekwa Kamati ya Ufundi NFF MJUMBE wa Bodi ya Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) amethibitisha kuwa, masharti yaliyowasilishwa na kocha mkuu wa timu ya taifa hilo, Eric Chelle, yatafanyiwa tathmini na Kamati ya Ufundi ya...
Morocco bado inautolea macho uenyeji Kombe la Dunia la Klabu 2029 NCHI ya Morocco bado ina dhamira ya kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu 2029 kwa kushirikiana na Hispania, ikiamini imekidhi vigezo vyote vya kupewa nafasi hiyo na Shirikisho la...
Eric Chelle aitega NFF, awasilisha masharti 19 Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles, Eric Chelle, amewatia wasiwasi wapenzi wa soka wa nchi hiyo baada ya kuweka masharti 19 muhimu kabla ya kusaini mkataba mpya na...
Picha ya mkongwe kikapu yawekwa katika mpira NYOTA wa kikapu wa aliyetamba na Pazi msimu uliopita wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam, Josephat Peter 'Tekenya' amekuwa mchezaji wa kwanza wa mchezo huo picha yake kutumika kama logo kwenye mpira.
Sancho ni bure, Dortmund, Galatasaray zatajwa MANCHESTER United ipo tayari kuachana na winga wao wa kimataifa wa England, Jadon Sancho, 25, na kumruhusu aondoke bure mwisho wa msimu huu.
Anayedaiwa kumbagua Vinicius afunguka LISBON, URENO: STAA wa Benfica, Gianluca Prestianni anayedaiwa kumtolea kauli za kibaguzi nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr amejaribu kufafanua kauli alizodaiwa kuzitoa kwa mchezaji huyo na...
Coutinho kuvunja mkataba Vasco da Gama INASIKITISHA. Kiungo Philippe Coutinho aliyewahi kuwa miongoni mwa wachezaji ghali zaidi katika historia ya soka ana hali mbaya akiwa na klabu ya Vasco da Gama ambako mashabiki wamekuwa...