Guardiola aachana na mke wake Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Mo Salah mambo safi huko Liverpool SUPASTAA, Mohamed Salah ameweka rekodi tamu Ligi Kuu England na Liverpool baada ya kucheza kwa kiwango cha kibabe sana dhidi ya Tottenham Hotspur juzi Jumapili.
Ronaldo hatoki Saudia STAA wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo inadaiwa ana mpango wa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Ligi Kuu ya Saudi Arabia kwa muda mrefu zaidi.
Ronaldo akataa ukocha Nyota wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo amesema kinachomfanya aendelee kucheza kwa sasa ni motisha na pindi atakapostaafu hana mpango wa kugeukia ukocha.
Madrid mmh! Ancelotti ni matatizo WAKATI taarifa za mpasuko baina ya mastaa wa Real Madrid zikizidi kupamba moto, inaripotiwa hata benchi la ufundi nalo mambo hayaeleweki.
Arteta, Slot vita nje ndani yani ARSENAL na Liverpool zinaweza kujikuta kwenye wiki moja matata itakayowafanya kuwa kwenye vita kali ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England na ule wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Tabora United yapewa mwamuzi 'mtata' dhidi Simba Presha ya mchezo wa Tabora United dhidi ya Simba inazidi kupanda mdogondogo na taarifa ya kushtua ni kwamba mchezo huo utaamuliwa na mwamuzi Amina Kyando ambaye hana rekodi nzuri na wenyeji wa...
Newcastle kufanya ujanja Isak abaki NEWCASTLE United inajiandaa kumpa dili tamu straika Alexander Isak ili kukata ngebe za timu zinazohitaji saini yake ikiwamo Arsenal, imeelezwa.
Neymar achaniwa mkataba Saudia SUPASTAA, Neymar amezifikisha mwisho zama zake kwenye soka la Saudi Arabia baada ya mkataba wake Al Hilal kusitishwa kwa makubaliano ya pande mbili.
Al Ahly yapewa Al Hilal, Mamelodi ngoma ngumu Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mechi za kwanza zikipigwa Aprili Mosi.