Ubingwa EPL ni 50 kwa 50 MSIMU wa 2025/26 unakaribia kufika mwisho, ambapo ni ligi moja tu kati ya tano bora Ulaya ambayo imeshapata bingwa, Ujerumani (Bundesliga). Bayern Munich imeshatangazwa bingwa kwa msimu mwingine...
Skendo! Mastaa 70 Serie A wachunguzwa biashara ya ngono Mvutano mkubwa umetanda katika soka la Italia baada ya takribani wachezaji 70 wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kuhusishwa na uchunguzi wa mtandao wa ukahaba unaodaiwa kuendeshwa katika Jiji la Milan,...
Michael Carrick aweka wazi hatma yake Man United Kocha wa muda wa Manchester United, Michael Carrick amesema hana presha wala hafuatilii kwa karibu mjadala wa hatima yake katika klabu hiyo, akisisitiza kwa sasa mawazo yake yote yapo kwenye kazi...
Enzo Fernández aingia anga za Manchester City MANCHESTER City inafikiria kufanya jaribio la kumsajili kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Argentina, Enzo Fernández, 25, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
El Clasico ya utata kwa Mbappe, ikimkosa Yamal Mechi kubwa ya El Clasico kati ya FC Barcelona na Real Madrid imeingia katika sintofahamu mpya baada ya mastaa wake wawili muhimu Kylian Mbappé na Lamine Yamal kuwekwa kwenye hatari ya kuikosa.
Enzo Maresca achomoza warithi Guardiola Man City KOCHA wa zamani wa Chelsea FC Enzo Maresca ameibuka kinara katika orodha ya makocha wanaoweza kumrithi Pep Guardiola Manchester City, iwapo Mhispania huyo ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Christopher Tebandeke: Kuwakaba Libase, Oura sio rahisi YANGA, Simba na Azam zinatajwa kuwa ndiyo zenye wachezaji wenye makali zaidi Ligi Kuu Bara msimu huu linapokuja suala la kucheka na nyavu, hilo linathibitishwa na msimamo wa ligi hiyo ulivyo...
Simbu arejea nchini, ataja siri ya kung’ara mfululizo Boston Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu amerejea nchini akitokea Marekani alikokwenda kushiriki mbio za Boston Marathon, huku akisema siri ya kufanya vizuri inatokana na jitihada...
Chelsea duh! Tatizo ni hili, kocha mpya atajwa MCHAMBUZI na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England na Manchester United, Gary Neville ameikosoa vikali bodi ya Chelsea kutokana na uamuzi wao wa kumfuta kazi Kocha Liam Rosenior...
Lamine hatarani kukosa Kombe la Dunia 2026 STAA wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Lamine Yamal huenda akashindwa kushiriki michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu baada ya kupata majeraha yaliyosababishwa atolewe Uwanjani huku...