MTU WA MPIRA: Simba wala haijabadilika, bado ni ileile KUNA vitu vingine vinachekesha sana. Ni kama hii sinema inayoendelea pale Simba kwa sasa. Ni vichekesho vitupu. Tulianza kusikia kuna fukuto ndani ya klabu ya Simba. Habari zikavuja chini kwa...
MTU WA MPIRA: Ajibu, Ndemla wamechagua Dunia tofauti MAISHA yanaenda kwa kasi sana. Yanaenda kasi zaidi kwa baadhi ya wachezaji wa soka nchini. Wapo wanaopanda kwa haraka na wengine wanaanguka. Kila mtu anachagua njia yake. Hivi ndivyo ilivyo kwa...
MZEE WA UPUPU: Tuanzishe Ligi mpya ya maendeleo KIUFUNDI mtalaa wa akademi ya soka kwa watoto wa miaka saba na mwisho wake ni miaka 17. Kuanzia miaka 18 mtoto anatakiwa kuingia kwenye soka la ushindani kama mchezaji wa kulipwa...anasaini...
ABAS KUKA -2: Huyu Manara bonge la staa Katika mahojiano na kiungo wa zamani wa Simba, Abbas Kuka alieleza mambo mbalimbali, lakini pia nilimuuliza swali namna gani alivyowaona mastaa wa zama zile wakiupiga mwingi.. SASA...
Ishu ya Morrison kama muvi IMEISHA. Maisha ya soka ya Benard Morrison ndani ya Simba yamefikia mwisho ndani ya kikosi hicho baada kukitumikia kwa miaka miwili iliyoambatana na visa na mikasa mingi.
Zahera awapa msala mastaa Yanga wao, upepo upo kwao labda washindwe wenyewe,” alisema Mtemi. Hata hivyo mkongwe huyo alitoa ushauri kwa Kocha wa Yanga Nasreddine Nabi akimtaka kumpunguzia majukumu kiungo Salum Abubakar ‘Sure...
Mbuna atoa siri ya benchi Yanga FRED Mbuna ni miongoni mwa majina yaliyotamba ndani ya Yanga mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ni katika mastaa ambao wamekaa ndani ya kikosi hicho kwa muda mrefu na hata kuondoka waliondoka kwa heshima.
Simba mpoo.. chuma kinajifua mchezo wa kirafiki ambao utawahusisha wachezaji ambao hawako kwenye timu za taifa, mechi ambayo itawarudishia ubora wa mechi. Yanga ina wachezaji 10 pekee ambao hawako kambini ambapo nane kati ya...
RIPOTI MAALUM: Makocha wazawa wanafeli wapi? KATIKA sehemu ya kwanza ya makala hii kuhusu sababu za ligi zetu nchini kutawalia na makocha wa kigeni huku makocha wazawa wakishindwa sio tu kwenda kusaka ajira na mafanikio nje ya nchi, bali...
Azam FC ni timu ya mchongo tu AZAM FC. Timu iliyotabiriwa kuwa mkombozi wa soka la Tanzania. Timu ya Familia ya Bilionea, Salim Said Bakhersa. Timu iliyopewa nafasi ya kuzipa changamoto Simba na Yanga. Nini kimetokea?