Victoria: Mke wa bosi na yeye ni bosi CHUKUA pesa za mke wa Wayne Rooney, Mrembo Coleen. Changanya na pesa za mke wa Jamie Vardy, mrembo Rebekah, weka pamoja. Unaambiwa hivi, bado hawamfikii na wameachwa kwa mbali sana.
Peter Kenyon afichua tatizo lilipo Man United KURUGEZNI Mtendaji Mkuu wa zamani wa Mkuu wa Manchester United, Peter Kenyon ametania kwamba familia ya Glazer “Inapaswa kupigwa risasi” kwa kitendo cha kushuhudia timu hiyo ya Old Trafford...
Shearer: Arteta anajifukuzisha! GWIJI wa Ligi Kuu England, Alan Shearer anaamini kocha Mikel Arteta anatafuta mwenyewe njia ya kujiweka kwenye presha ya kufutwa kazi kwenye klabu ya Arsenal baada ya kushindwa kuifanya timu hiyo...
Antony ahama na kijiji Real Betis MASHABIKI wa Real Madrid wametamba kwamba mzuka wa winga wa Kibrazili, Antony umechangia timu hiyo kuvuruga mipango ya Real Madrid katika mbio za ubingwa wa La Liga msimu huu.
PRIME Dabi ya Machi 8 Simba 1, Yanga 1 MASHABIKI wa soka hususani wa Simba na Yanga kwa sasa wanahesabu siku tu, kabla ya kuzishuhudia timu hizo zikishuka uwanjani katika pambano la marudiano la Dabi ya Kariakoo.
JKT Tanzania, Tabora United mzigoni tena KIVUMBI cha Kombe la Shirikisho (FA) kinaendelea tena leo kwa mechi sita tofauti, wakati timu 12 zitakapokuwa zikiwania kusaka tiketi ya 16 Bora kuungana na timu zilizotangulia kutokana na mechi...
Lookman anauzwa nje ya Italia KLABU za Ligi Kuu England zitapigana vikumbo kuwania huduma ya mkali wa Atalanta, Ademola Lookman baada ya klabu yake kufichua itakuwa tayari kumpiga bei nje ya Italia dirisha lijalo.
Liverpool imeshika Pauni 120 milioni kumnasa Isak LIVERPOOL imeripotiwa kuwa na ufahamu straika anayemsaka kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi atawagharimu mkwanja usiopungua Pauni 120 milioni.
Garnacho kuwanunulia msosi mastaa wenzake Man United KINDA wa Manchester United, Alejandro Garnacho atawanunulia chakula cha usiku wachezaji wenzake kama “adhabu” kutokana na kitendo chake cha kuondoka kabisa Old Trafford baada ya kutolewa kwenye...
Solskjaer: Amorim? Tatizo siyo yeye OLE Gunnar Solskjaer amefichua na kusema anajua ni wapi penye shinda kwenye kikosi cha Manchester United kinachofanya hovyo chini ya Ruben Amorim na kudai sio kosa la kocha.