Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Mhilu awatoa hofu mashabiki Geita Gold

    WINGA wa zamani wa Yanga na Simba, Yusuph Mhilu msimu ujao atacheza Ligi ya Championship akiwa na kikosi cha Geita Gold baada ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja, huku akitaja sababu zilizomfanya...

  2. Pamba Jiji yatenga Sh1 bilioni msimu wa 2024/25

    MLEZI na mshauri mkuu wa Pamba Jiji, Said Mtanda amesema jumla kuu ya bajeti ya uendeshaji wa timu hiyo msimu huu katika ushiriki wake Ligi Kuu ni takribani Sh1.5 bilioni, huku ikitumia zaidi ya...

  3. Kopunovic atoa masharti nyota sita Pamba

    LICHA ya uongozi wa Pamba Jiji kukamilisha usajili wa wachezaji 24 hadi sasa, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Goran Kopunovic amesema anahitaji wachezaji sita wenye ubora wa kucheza Ligi Kuu na...

  4. Pamba Jiji yachomoa beki Championship 

    BEKI wa kulia wa Pamba Jiji, Yunus Lema amesema kucheza Ligi Kuu kwa mara ya kwanza ni ndoto ya muda mrefu iliyotimia, huku akiamini imemfungulia njia ya kufanya vizuri na kucheza soka la kulipwa...

  5. Aliyekuwa kocha Biashara atoa msimamo

    ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Biashara United ya Mara, Amani Josiah amesema kwa sasa yuko huru baada ya kumaliza mkataba na klabu hiyo huku akikiri kupokea ofa kutoka timu mbalimbali ambazo bado...

  6. Ukweli kuuzwa kwa Alliance FC ni huu

    BAADA ya uwepo wa taarifa za timu ya wavulana ya Alliance FC ya jijini hapa kuuzwa mkoani Arusha, uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi huku ukiwatoa wasiwasi mashabiki wake.

  7. Pamba Jiji yaenda chimbo la wiki tatu

    KIKOSI cha Pamba Jiji kitaondoka keshokutwa (Jumapili) jijini hapa kwenda mjini Morogoro kuweka kambi ya takribani wiki tatu kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Goran...

  8. Ufudu ajilipua Mashujaa

    BAADA ya kudumu Kagera Sugar kwa miaka minne, Julai 7, mwaka huu kiungo, Ally Nassoro Iddi ‘Ufudu’ alitua Mashujaa FC ya Kigoma akisaini mkataba wa mwaka mmoja, huku akifichua siri ya kujiunga na...

  9. Wanariadha waiangukia Serikali maandalizi duni, vifaa

    KUKOSEKANA kwa maandalizi mazuri ikiwemo kambi na vifaa bora vya mazoezi kumewaibua baadhi ya wanariadha wa Tanzania ambao wameishauri Serikali kuingilia kati na kuhakikisha changamoto hizo...

    Riadha Pict
  10. Giniki, Angelina wafunika Lake Victoria Marathon 2024

    WANARIADHA Shing’ade Giniki na Angelina John wameibuka washindi wa mbio za Lake Victoria Marathon 2024 zilizofanyika leo Jumapili Julai 7, 2024 kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini hapa...

Previous

Page 13 of 71

Next