Arsenal, Liverpool ‘big no’ kwa Alvarez MABOSI wa Atletico Madrid wameeleza kuwa straika wa timu hiyo, Julian Alvarez ataendelea kusalia kuwa mchezaji wao msimu ujao licha ya timu kadhaa za Ligi Kuu England kutaka kumsajili.
Ancelotti anatoka, Alonso anaingia MABOSI wa Real Madrid wanajiandaa kumtangaza kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso kuwa bosi mpya wa Bernabeu.
Ghafla Casemiro kapindua meza KIUNGO wa Kibrazili, Casemiro huenda akacheza na kumalizia maisha yake ya kisoka kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kurudi kwenye kiwango bora kabisa chini ya Kocha Ruben Amorim.
Liverpool yabeba ubingwa EPL ikiisulubu Totenham Imeisha hiyo. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Liverpool kuibamiza Totenham Hotspur kwa mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Anfield na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL).
Nusu fainali CWC... Tiketi bei chini kuliko glasi ya bia TIKETI kwa ajili ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kati ya Chelsea na Fluminense kitakachopigwa Jumanne zimeshuka na mashabiki wa huko Marekani watakuwa na uwezo wa kuangalia...
Simba yafuata kiungo Mali KATIKA kuimarisha eneo la kiungo, Simba imeanza harakati mapema za kulijenga eneo hilo ambalo tayari kuna nyota wanne wameshaondoka baada ya msimu wa 2024-2025 kumalizika.
Hatimaye Arteta asema kitu kuhusu Partey KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema tena kwa msisitizo kwa asilimia 100 anaamini klabu yake ilifuata utaratibu wote unaofaa wa kuhusu kesi inayomkabili kiungo wa Ghana, Thomas Partey.
Saka afichua wasiwasi wake wakati akijiuguza STAA wa Arsenal, Bukayo Saka amefunguka athari alizokabiliana nazo kimwili na kiakili wakati alipokumbwa na majeraha makubwa yaliyoweka kwenye mashaka makubwa maisha yake ya soka.
Winga Cherki katua tunduni Man City MANCHESTER City imethibitisha kumsajili kiungo wa Olympique Lyon, Rayan Cherki kwa ada ya Pauni 31 milioni.
Chelsea yaacha vifaa Kombe la Dunia CHELSEA imepiga chini mastaa wenye thamani ya Pauni 150 milioni katika kikosi chake kitakachokwenda kuchuana kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika Marekani mwezi huu.