Iran hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026 Mkuu wa Shirikisho la Soka la Iran, Mehdi Taj, ametangaza kuwa hadi sasa hakuna kibali cha kuingia nchini Marekani (visa) hata kimoja kilichotolewa na serikali ya nchi hiyo kwa ajili ya timu ya...
Fainali Kombe la Dunia kunogeshwa na hawa ORODHA ya mastaa watakaotumbuiza katika mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 imetajwa rasmi, huku ikijumuisha baadhi ya wasanii wakubwa duniani pamoja na waigizaji maarufu wa kipindi cha...
Mwenendo wa Spurs wamwibua Daniel Levy ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tottenham Hotspurs, Daniel Levy, amezungumza hadharani kwa mara ya kwanza kuhusu klabu hiyo tangu alipoondolewa madarakani Septemba mwaka jana baada ya kudumu kwa zaidi ya...
Fadhili Majiha avuliwa mkanda wa WBC Uamuzi huo ulithibitishwa na Makamu wa Rais wa WBC, Houcine Houichi, ambaye alisema baraza hilo lilifanya jitihada mbalimbali kuwasiliana na menejimenti ya bondia huyo kabla ya kuchukua hatua hiyo.
Bayern yakaribia kumaliza kazi dili la Anthony Gordon BAYERN Munich wamefikia makubaliano binafsi, Anthony Gordon, 25, na sasa wameanza mazungumzo na rasmi na Newcastle United kujua ada ya uhamisho inayohitajika ili kuipata saini ya staa huyo.
Arsenal yaanza 'kutetemeka' kileleni EPL VITA ya ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) msimu wa 2025-2026 imefikia hatua ya mwisho ambapo Arsenal na Manchester City sasa zimetenganishwa kwa tofauti ya pointi mbili huku zikiwa zimesalia...
Waarabu wafanya kufuru kwa Lewandowski MSHAMBULIAJI mkongwe wa Barcelona, Robert Lewandowski, anakaribia kuachana na klabu hiyo katika dirisha lijalo na kujiunga na Al-Hilal kutoka Ligi Kuu ya Saudi Arabia.
Kombe la Dunia kuwa na 'half-time show' SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limetangaza mpango wa kuwa na onyesho la mapumziko (halftime show) kwa mara ya kwanza kabisa katika fainali ya Kombe la Dunia 2026, litakalofanyika katika Uwanja...
Casemiro ‘amtolea uvivu’ Jamie Carragher NYOTA wa Manchester United, Casemiro, amemchana mchambuzi wa soka Jamie Carragher kwa kauli yake ya dharau aliyoitoa mwaka 2024 alipomwambia kuwa astaafu kwa sababu kiwango chake kimeshuka.
Bilionea amtikisa Florentino Perez Real Madrid BILIONEA mmoja mkubwa anaripotiwa kuwa tayari kumpa changamoto rais wa muda mrefu wa Real Madrid, Florentino Perez, katika uchaguzi wa urais wa klabu hiyo.