MZEE WA UPUPU: Kwanini Azam FC haianzii raundi ya awali CAF?
RAUNDI ya awali ya mashindano ya klabu barani Afrika, ilianza Ijumaa iliyopita, Septemba 9, 2022. Timu tatu za Tanzania ambazo zilicheza wikendi, zimeanzia raundi ya awali, kasoro timu moja tu...