Simba, Yanga freshi, ila bado WABABE wa soka nchini, Simba na Yanga wamekamilisha mechi zao za raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kupata ushindi muhimu nyumbani. Simba ilianza Jumanne kwa...
Mpinzani wa Yanga kwenye anga za Man City AL Ahly ambayo ilikuwa inashiriki mashindano ya klabu bingwa dunia yanayofanyika Saudi Arabia, huenda ikacheza na Manchester City kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu wa michuano hiyo. Ahly...
Simba yaweka rekodi tatu Kwa Mkapa BAADA ya kumaliza kipindi cha kwanza cha ikiwa inaongoza kwa mabao 2-0, dhidi ya Wydad Casablanca, Simba imefanikiwa kuweka rekodi tofauti tofauti. Kwanza ndio imekuwa timu pekee kutoka Tanzania...
Novatus akutana na Marseille MCHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Ukraine kwenye timu ya Shakhtar Donetsk, atakuwa na safari yakwenda nchini Ufaransa mwakani kwa ajili ya kucheza dhidi ya...
Vikosi vya mkwanja mrefu CAF WAKATI hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ikianza leo, moja kati ya mambo yanayozungumziwa ni ukubwa wa vikosi na ukwasi wa timu zinazoshiriki. Kila timu ina thamani yake kulingana na vikosi...
TRA yaanza kujenga uwanja wa kisasa Kurasini BAADA ya kuzindua wiki ya shukrani kwa mlipa kodi, Kamishna wa TRA Alphayo Kidata amesema tayari wameanza kujenga uwanja wa kisasa wa michezo maeneo ya Mivinjeni, Kurasini, Dar es salaam. Wiki...
Mokwena amwaga machozi, Mamelodi ikitwaa ubingwa AFL KOCHA wa Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena alijikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi uwanjani baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo wa fainali yapili ya African Football League (AFL) dhidi...
Straika Mghana afariki baada ya kudondoka uwanjani STRAIKA wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka ghafla uwanjani na kufariki wakati anaitumikia timu yake KF Egnatia kwenye mchezo wa Ligi Kuu Albania dhidi ya Partizani leo...
Abby anogesha shindano la klabu za kodi TRA MSANII wa kizazi kipya Abby Chams amenogesha shindano la klabu za kodi kwa shule za Sekondari lililofanyika leo Novemba 09 katika chuo cha kodi Dar es salaam (ITA). Chams ambaye ameshawahi...
Diarra kumfuata El Shanawy? Golikipa wa Yanga amezua maswali kwa wadau mbali mbali baada ya kuchaguliwa kuwa mmoja ya mastaa wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wanaocheza ndani. Swali kubwa ni ikiwa Diarra...