Tajiri Mo Dewji karudi, amwaga noti kambini, amaliza mechi kibabe LICHA ya kwamba wapo kambini, lakini mapumziko ya leo ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa yamezikuta vizuri familia za mastaa wa Simba itakayomalizana na Primeiro de Agosto Jumapili, Uwanja wa...
Simba yamvuta kocha mpya MABOSI wa Simba wamefanya maboresho katika benchi la ufundi la timu ya wanawake, Simba Queens, kwa kumleta kocha wa makipa, Adam Meja kutokea Dodoma Jiji iliyopo Ligi Kuu Bara. Inaelezwa...
Phiri ana jambo lake, Mgunda asaka rekodi mpya Kinara huyo wa mabao wa Simba, akiwa na mawili katika michuano ya CAF na manne ya Ligi Kuu Bara, alisema wanajua wana mchezo mgumu ugenini huku wakikabiliwa na rekodi mbaya iliyowekwa timu hiyo...
Mgunda awafungia mastaa Simba JUMAMOSI, kikosi cha Simba kitaondoka kwenda Angola kwa ajili ya mchezo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Agosto kabla ya kurudiana nao wiki moja baadaye.
Djuma aipigia saluti Simba KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Masoud Djuma amesema kupoteza dhidi ya Simba halikuwa jambo la kushangaza kwao kutokana na jinsi ambavyo walikuwa na ratiba ngumu kabla ya kucheza mechi hiyo. Juzi...
Yanga yazuga, Ibenge apaniki MABAO la Feisal Salum ‘Feitoto’ na nahodha Bakary Mwamnyeto juzi usiku yaliipa Yanga ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mkapa katika mechi ambayo winga, Tuisila Kisinda...
Zoran aingilia ishu ya Dejan Simba STRAIKA Mzungu aliyekuwa akikipiga Simba, Dejan Georgijevic ameshasepa zake alfajiri ya juzi kurudi Serbia, huku Kocha wa zamani wa timu hiyo aliyepo Al Ittihad ya Misri, Zoran Maki akiingilia...
Kisinda aanza na Ruvu Shooting WINGA mpya wa Yanga, Tuisila Kisinda aliyesajiliwa na timu hiyo dakika za mwisho kabla ya dirisha la usajili wa Ligi Kuu Bara kufungwa ameanza katika cha kwanza dhidi ya Ruvu Shooting. Saa 12:15...
Mgunda apeta, Djuma atetea mastaa wake SIMBA imepata ushindi wa mabao 3-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Dodoma Jiji. Katika mchezo huo mabao ya Simba yalifungwa na beki wa kati wa...
Phiri aendeleza moto Ligi Kuu Kipindi cha kwanza kimemalizika katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Simba wenyeji wakiongoza mabao 2-0, dhidi ya Dodoma Jiji. Katika mchezo huo mabao ya Simba yalifungwa na beki wa kati wa Dodoma...