Kally Ongala apata pointi ya kwanza Ligi Kuu akiiongoza KMC
KALLY Ongala ambaye ni Kocha Mkuu wa KMC, amefanikiwa kuiongoza timu hiyo kupata pointi moja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa uliochezwa leo Desemba 12, 2024 kwenye Uwanja wa KMC...