Majiha: Nilishinda mkanda, asubuhi nikaomba hela ya vitafunwa TANGU Tanzania inapata huru, bondia Fadhili Majiha maarufu zaidi kama Kiepe Nyani amekuwa Mtanzania na bondia wa kwanza kufikisha hadhi ya nyota nne na nusu akivunja rekodi ya Hassan Mwakinyo...
Mandonga: Ndege ilipotikisika ilitaka kunitoa roho (2) Yule muhudumu aliendelea kusema kutokana na hali ya hewa ndege nyingi kutoka mataifa ya mbali zimeshindwa kutua. Baada ya hapo nilisikia ndege ikionyesha mtikisiko kama inadondoka, watu wote...
Pep aipa Arsenal ubingwa Katika mechi tatu zilizosalia Man City itacheza dhidi ya Fulham, Tottenham na West Ham wakati Arsenal mbili zilizosalia itakutana na Man United na Everton.
Mandonga: Chakula cha buku hadi tv kila chumba MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ atakuwa akimaliza adhabu yake.
Tshabalala awaachia msala wazawa Simba Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...
Pacome afunga bandeji goti aliloumia Complex Chamazi, usiku huu. Muivory Coast huyo alikuwa akipasha na kundi la wachezaji wa akiba akiwemo Farid Mussa, Kennedy Musonda na Joseph Guede ambao waliunda duara huku aliyekuwa...
PRIME Hizi ndizo tabia za Diarra, Aucho kambini Yanga Kikosi cha Yanga jioni ya jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku mastaa wa timu hiyo, Djigui Diarra, Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI walitarajiwa...
Nidhamu yaibeba JKT mbele ya Yanga jeshini Okrah ambaye alionekana kuchemka huku akiingia Clement Mzize na kama ilikuwa haitoshi baadae akafanya tena mabadiliko mengine ikiwemo kuingia kwa Jonas Mkude, Farid Mussa na Mwamnyeto.
Yanga yaitawala Simba nje ndani Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu unazidi kuikaribia Yanga na sasa inahitajika kupata ushindi katika mechi tano na sare moja kati ya mechi nane ilizobakiza ili ijihakikishie ubingwa kwa mara ya...
Yanga yakoleza mzuka wa Dabi, Guede awaka, Azizi Ki hakamatiki 72 na 80 na kuwainhiza Mudathir Yahya, Makudubela, Farid Mussa na Kibwana Shomari. AUCHO AIVA, BADO PACOME, YAO Katika mchezo huo, kiungo wa Yanga, Khalid Aucho ambaye alikosekana kwa...