SPOTI DOKTA: Joto kali ni tishio kubwa kwa wachezaji LIGI Kuu Bara kuna baadhi ya mechi zinachezwa kuanzia Saa 8 mchana, wakati mwingine jua likiwa la utosini. Klabu zimewahi kulalamika juu ya mechi hizo kupigwa muda huo, hasa zikizihusisha zaidi...
Spoti Dokta: Kugongwa kichwani na kufariki WIKI iliyopita tasnia ya soka nchini ilipata pigo mara baada ya mchezaji wa timu ya vijana ya U17 Singida Big Stars, Mohamed Banda kugongana na mchezaji mwenzake na kufariki uwanjani. Tukio hili...
Spoti Dokta: Mwili wa kispoti unatengenezwa hivi KATIKA ulimwengu wa kisasa watu wa kawaida hununua mavazi na vifaa vya kimichezo na kuvaa, huku pia huvutika kuwa na mwonekano wa kispoti kama walivyo wanamichezo mastaa. Muonekano wa kispoti...
SPOTI DOKTA: Messi alivyoboresha afya duniani HATIMAYE Lionel Messi ‘La Pulga’ ndiye mchezaji aliyefanikiwa kubeba kila kitu katika soka na anamaliza ubishi wa siku nyingi kuwa nani ndiye G.O.T katika soka. Kirefu chake ni Greatest Of All...
SPOTI DOKTA: Sababu za vifo vya wanahabari ni hizi Wa kwanza alikuwa Grant Wahl (pichani) aliyefariki kwa kupata la shambulio la moyo kitabibu heart attack akiwa kwenye Uwanja wa Lusail akiripoti mchezo wa robo fainali wa Uholanzi dhidi ya...
SPOTI DOKTA: Pele anahitaji faraja hizi WAKATI Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar likingia katika hatua ya robo fainali hali ya gwiji wa soka wa duniani, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’ sio nzuri kiasi cha kuwa katika uangalizi...
SPOTI DOKTA: Fahamu haya kabla ya kutua Qatar ZIMEBAKI siku tatu tu mtanange wa Kombe la Dunia kufunguliwa rasmi nchini Qatar ambapo wenyeji wa mashindano wataminyana na timu ya Taifa ya Ecuador. Mchezo huo wa ufunguzi ni wa kundi A ambao...
Kante, Pogba kutojumuishwa Ufaransa 2026 SSIKU, saa, dakika, sekunde na milisekunde hazigandi, zimebaki siku 10 kufikia Novemba 20, ili ufunguzi rasmi wa Kombe la Dunia FIFA kuanza kutumia vumbi nchini Qatar.
Siri mabondia kuruka kamba KWA wanamichezo ni kawaida kufanya mazoezi ya aina tofauti kwa lengo la kutengeneza utimamu wa miili kuwawezesha kutimiza majukumu kwa ufasaha. Kipaji cha kucheza bila mazoezi ni sawa na kufuli...
SPOTI DOKTA: Osimhen chupuchupu afie uwanjani KINDA wa soka kutoka nchini Nigeria anayekipiga katika klabu ya soka ya Napoli ya nchini Italia Victor Osimhen ameeleza kwa kina ajali ya mchezoni aliyoipata 21 Novemba 2021 chupuchupu...