Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Horoya yazidiwa akili

    KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefichua namna alivyojipanga kwa mechi dhidi ya AC Horoya, akisema tangu walipocheza mechi ya Ligi Ku dhidi ya Singida Big Stars walipata wasaa wa...

  2. Mastaa Simba wamwagiwa noti kuiua Horoya

    Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wachezaji wanapata mzuka na motisha ya kutosha ili kupata matokeo mazuri kwenye mechi hiyo wamemwaga mkwanja wa kutosha ambao hata hivyo umefanywa siri, japo...

  3. Robertinho ataja mbinu mpya CAF

    MSAFARA wa Simba unatarajia kuondoka nchini kesho kwenda Guinea kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Horoya utakaochezwa Jumamosi hii. Kocha wa Simba...

  4. Try Again aiwahi AC Horoya

    Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' yupo Morocco kwa ajili ya mambo mawili makubwa ya kuinufaisha klabu hiyo. Jambo la kwanza Try Again ni miongoni mwa wawakilishi...

  5. Chama aingia kwenye mfumo, Mbrazili afichua siri

    ULIONA kiwango kipya cha kiungo fundi kutoka Zambia, Clatous Chama kwenye mechi ya Simba na Singida Big Stars? Achana na ule ufundi wake miguuni, lakini kasi aliyokuwa nayo katika kuisukuma timu...

  6. Mbrazili atoa ramani ya vita Simba

    KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ alirejea nchini juzi usiku jana akaanza mazoezini, huku akiweka bayana ramani ya vita katika kuhakikisha timu inamaliza kibabe michuano ya Ligi Kuu...

  7. Mgunda atoa siri za Sawadogo

    KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amefichua kiungo, Ismail Sawadogo ni fundi na ni aina ya wachezaji aliokuwa akiwahitaji sana Msimbazi. Mgunda ambaye ni Kocha wa zamani wa Coastal Union...

  8. Kaluwa: Nitatoa ushirikiano kwa kila mmoja wetu

    ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba, Moses Kaluwa amesema ataendelea kutoa ushirikiano kwa viongozi wenzake licha ya kushindwa na mpinzani wake, Murtaza Mangungu. Kaluwa...

    New Content Item (1)
  9. Mbrazili Simba afundisha kwa simu

    Robertinho aliyeiongoza Simba katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara na zote kushinda dhidi ya Mbeya City na Dodoma Jiji, alitimka kwao wiki iliyopita na kuiacha timu chini ya wasaidizi wake, lakini...

  10. Mbrazili Simba akomalia matano

    KOCHA wa Simba, Oliveira Robertinho amesema kuna mambo matano ndani ya kikosi hicho anapambana kuyabadilisha na tangu ameanza kazi ndani ya muda mfupi kuna mengine ameanza kuyafanyia kazi.

Previous

Page 2 of 89

Next