Championship kumenoga, kuna vita nzito VITA ni nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu Ligi ya Championship baada ya kubakisha michezo mitano tu kwa kila timu kuhitimisha msimu huu, huku vita kubwa ikitanda maeneo yote, hususani ile ya...
Evalisto asikilizia dili nono Misri MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema mkataba wake na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri umemalizika na sasa anasikilizia dili nono zaidi kutoka timu hiyo au...
PRIME SENYO: Kinyozi wa mastaa EPL, anayepiga pesa ndefu MBALI ya uwezo wao mkubwa wanaoonyesha kiwanjani moja kati ya mambo ambayo wachezaji wengi wanazingatia ni muonekano wao.
Mastraika Mbeya City wanogesha hat trick WAKATI zikibaki mechi sita kuhitimisha msimu huu wa Ligi ya Championship, washambuliaji wa Mbeya City wamekuwa tishio kufunga mabao matatu kwa mechi moja yaani ‘hat-trick’, tofauti na nyota...
PRIME Ligi Kuu yamoto… Wazawa, wageni wapangiwa vikosi LIGI Kuu Bara imesimama baada ya jana kupigwa mechi ya kiporo kati ya Simba na Dodoma Jiji, ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu...
Mokono ailaza KMC, Matano akipata ushindi wa pili Mshambuliaji wa Fountain Gate, Elie Mokono ameibuka shujaa kutokana na mabao yake mawili kutosha kuwapa pointi tatu wakiichapa KMC 1-2.
PRIME Tangu 2018 Wageni wababe na bao la kwanza katika dabi ZINAPOCHEZA Simba na Yanga zinakuwa na rekodi mbalimbali na vitu vya kuvutia kutokana na ukongwe wa klabu hizo tangu Ligi ya Tanzania ilipoanzishwa mwaka 1965.
Championship pameanza kuchangamka PAMEANZA kuchangamka! ndivyo unavyoweza kusema katika Ligi ya Championship baada ya kubakisha michezo tisa kwa kila timu kuhitimisha msimu huu, huku vita kubwa ikitanda maeneo yote, hususani ile...
Panga la Guardiola kumfyeka Grealish Man City STAA ghali kabisa kwenye Ligi Kuu England, Jack Grealish ametajwa ndiye mchezaji atakayeongoza kundi la mastaa wasiopungua wanane watakaofunguliwa mlango wa kutokea huko Manchester City.
Ligi Kuu kuna vita ya wazee wa 6-1 KENGOLD bado inajitafuta baada ya kurejea katika duru la pili ikiwa imefanya usajili wa kibabe dirisha dogo la usajili lililofungwa katikati ya mwezi uliopita.