TUONGEE KISHKAJI: Harmonize hajawaelewa wanaosema ‘hajui kizungu’
JUZI kati Harmonize kawaandikia mahaters wake bonge la barua kuhusu tabia ya kumwambia hajui Kiingereza. Kwenye barua hiyo Konde Boy ameng’aka maneno yanayofanana na ‘mtasema sana, mtaongea sana,...