SPOTI DOKTA: Balaa la mbu katika vibanda umiza MOJAWAPO wa burudani nzuri inayochangamsha na kuleta furaha isiyo na kifani kwa wapenda kandanda ni kwenda kutazama soka mtaani - katika mabanda ya Uswahilini maarufu vibandaumiza au baa.
PRIME SPOTI DOKTA: Siri mastaa kutumia tiba ya oksijeni TIBA ya oksijeni ya Hyperbaric kifupi HBOT hivi sasa imekuwa maarufu kwa wanamichezo duniani ikiwamo wanaocheza kandanda, kikapu, mpira wa magongo, wapiga mbizi na wanariadha.
SPOTI DOKTA: Beki wa Arsenal kufanyiwa upasuaji iko hivi Klabu ya Arsenal ilipata pigo wiki iliyopita siku ya jumannne katika mchezo wa ligi kuu EPL dhidi ya Fulham mara baada ya beki wake toka nchini Brazil Gabriel Magalhàes kupata majeraha mabaya ya...
PRIME SPOTI DOKTA: Bondia kufia ulingoni sababu ni hii KUELEKEA Sikukuu ya Eid Fitr jijini Nigeria, iligeuka huzuni katika mchezo wa masumbwi baada ya bondia Gabriel Olanrewaju kufariki dunia wakati wa pambano baada ya kudondoka katika raundi ya 10..
SPOTI DOKTA: Utimamu wa Arajiga, Kayoko unapatikana hivi MWAMUZI wa soka anahitaji kuwa na mwili mkakamavu ambao unamwezesha kwenda na mwendokasi wa mchezo huo ambao unahitajika kuwa na kasi, nguvu na kutumia akili kuamua.
PRIME Che Malone atuliza presha Simba BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kwa lengo la kuwahi mapema kabla...
SPOTI DOKTA: Sababu kifo cha Dokta wa Barcelona ni hizi KLABU ya Barcelona ya Hispania, wikiendi iliyopita ilipata pigo baada ya kutokea kifo cha ghafla cha daktari wa kikosi cha kwanza ajulikanaye kama Dk. Carles Garcia Minarro mwenye umri wa...
PRIME Dabi ya Kariakoo...Kina Mpanzu, Pacome wazingatie haya Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam litapigwa pambano la watani wa jadi wa soka nchini, Simba na Yanga.
SPOTI DOKTA: Mashabiki wazingatie haya Dabi ya Kariakoo NAAM kumekucha! Zimebaki siku mbili tu kabla ya Dabi ya Kariakoo kupigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.