Search

50 results for Bertha Ismail :

  1. Wanariadha wa Kenya wang'ara mashindano FEASSSA

    Wanariadha kutoka nchini Kenya wamefanikiwa kufanya vema katika Mashindano ya shule za msingi na sekondari Kwa nchi za Afrika mashariki (FEASSSA) kunyakua jumla ya medali 37. Mashindano hayo ya...

  2. Ligi Daraja la Kwanza yaanza kwa kishindo, Mbuni yatakata

    TIMU ya Mbuni FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wageni wao Ndanda FC kutoka Mtwara katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

  3. Ndanda yaipiga mkwara Mbuni

    Timu ya Ndanda FC 'wanakuchere' imempiga mkwara mpinzani wake Mbuni FC kuelekea mchezo wao unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.

  4. Arusha City, Nyota FC wafuata nyayo za Yanga

    Wakati mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga, jana wakifanya makamuzi ya kuinyuka timu ya Zalan FC ya Sudan jumla ya mabao 4-0, wadogo zao Arusha City wamefuata nyayo hizo Kwa kuifunga Timu ya...

  5. Coastal yashindwa kutamba kwa Polisi

    Timu ya Coastal Union ya Tanga imeshindwa kufurukuta nyumbani katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania baada ya kuhitimisha dakika 90 kwa sare ya bila kufungana.

  6. Polisi yatuma salamu Coastal Union

    Timu ya Polisi Tanzania, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wao wa kirafiki uliopigwa katika viwanja vya ISM jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi kuelekea...

  7. 30 wahitimu stashahada ya ukocha Arusha

    Jumla ya makocha 30 wamefanikiwa kuhitimu mafunzo ya ukocha ngazi ya stashahada ya shirikisho la soka Afrika daraja D (CAF diploma D) yaliyofanyika Kwa siku 10 mkoani Arusha. Mafunzo hayo...

  8. Tanzania yajipanga kutwaa ubingwa wa kombe gofu Afrika

    Timu ya Tanzania ya mchezo wa gofu, wametamba kutwaa ubingwa wa mashindano ya gofu Afrika yanayotarajia kuanza Septemba 6 jijini Dar-es-Salaam. Mashindano hayo ya gofu yanayojulikana Kama 'All...

  9. Timu 17 kuwania ufalme wa soka mkoa wa Arusha

    Jumla ya timu 17 zinatarajia kuchuana vikali katika mashindano ya Ligi ya mkoa wa Arusha yanayotarajia kuanza Jumamosi Septemba 3 mwaka huu katika viwanja mbalimbali. Akizungumzia mashindano...

  10. Yanga yaandika rekodi mpya Bara ikiichapa Coastal

    Klabu ya Yanga imeandika rekodi mpya Ligi Kuu Bara ya kucheza mechi 39 bila kupoteza baada ya kuifunga Coastal Union mabao 2-0 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Previous

Page 2 of 5

Next