Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Shabiki achora tattoo sehemu za siri akifurahia kusajiliwa Lacazette

Muktasari:

Hata hivyo shabiki huyo hakuishia hapo amepanga kuchora tattoo nyingine kwenye paji la uso wake katika siku za hivi karibuni.

London, England. Shabiki mmoja nchini Uingereza ameamua kuchora tattoo ya mchezaji, Alexander Lacazette kwenye mwili wake ikiwa ni kuonyesha furaha yake baada ya raia huyo wa Ufaransa kusajili kwenye klabu ya Arsenal.

Hata hivyo shabiki huyo hakuishia hapo amepanga kuchora tattoo nyingine kwenye paji la uso wake katika siku za hivi karibuni.

Shabiki mwingine aliweka picha  kwenye mitandao wake wa Twitter akiwa amechora tattoo yenye sura ya Lacazette mgongoni.

Tangu Lacazette ajiunge na Arsenal amepoza mioyo yua mashabiki hao ambao wamekuwa wakimmwagia sifa kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine wakitimiza ahadi mbalimbali walizokuwa wameziweka baada ya kusajiliwa.

Miongoni mwa mashabiki hao, wapo waliahidi kufuta akaunti zao za twitter wengine waliahidi kutupa simu zao kwenye mito, lakini walipotea ghafla mitandao ili kukwepa kutimiza ahadi zao.