Usajili ulivyofungwa kibabe bongo

DIRISHA la usajili Ligi Kuu Bara limefungwa rasmi juzi kwa klabu kuvuta silaha mpya zitakazoongeza nguvu huku zikitoa pia kwaheri kwa nyota wengine.
Mwanaspoti linakuletea sajili zote za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa katika dirisha hili dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16, mwaka jana huku mastaa kadhaa wakionekana kukamilisha dili zao dakika za mwisho.
AZAM FC WALIOINGIA
Franklin Navarro (Cortulua FC),
Mohamed Mustafa (Al-Merrikh),
Yeison Fuentes (Leones FC).
WALIOTOKA
Idris Mbombo (Nkana FC).
YANGA WALIOINGIA
Shekhan Ibrahim Khamis (JKU),
Augustine Okrah (Bechem Utd),
Joseph Guede Gnadou (Tuzlaspor FC).
WALIOTOKA
Crispin Ngushi (Coastal Union),
Hafiz Konkoni (Dogan Turk Birligi),
Jesus Moloko (haijafahamika).
SIMBA WALIOINGIA
Saleh Karabaka (JKU),
Babacar Sarr (Huru),
Ladaki Chasambi (Mtibwa Sugar),
Pa Omar Jobe (Zhenis),
Freddy Michael Kouablan(Green Eagles).
WALIOTOKA
Nassoro Kapama (Mtibwa Sugar),
Jimmyson Mwanuke (Mtibwa Sugar), Shaaban Idd Chilunda (KMC),
Hamis Abdallah (haijafahamika),
Ahmed Feruz (haijafahamika),
Mohamed Mussa (haijafahamika),
Moses Phiri (haijafahamika),
Jean Baleke (haijafahamika).
COASTAL UNION WALIOINGIA
Salum Aiyee (Mbuni),
Crispin Ngushi (Yanga).
WALIOTOKA
Justin Ndikumana (Mtibwa Sugar),
Juma Mahadhi (haijafahamika),
Fran Golubic (Nestos Chrysoupolis),
Balama Mapinduzi (Mashujaa),
Yakubu Abdullah (haijafahamika),
Daud Mbweni (haijafahamika),
Abdulswamad Kassim (haijafahamika),
Konare Malienne (haijafahamika),
Henock Mayala (haijafahamika).
DODOMA JIJI WALIOINGIA
Robinson Kamura (Kakamega Homeboyz), Apollo Otieno (KCB),
Anuary Jabir (Kagera Sugar).
WALIOTOKA
(haijawekwa wazi).
TABORA UNITED WALIOINGIA
(Haijawekwa wazi).
WALIOTOKA
Paulin Kasindi (haijafahamika),
Touya Jean Didie (haijafahamika),
Mutuale Nyongani (haijafahamika),
Morice Reuben Mahela (haijafahamika),
Moses Msukanywele (haijafahamika).
NAMUNGO FC WALIOINGIA
Meddie Kagere (Singida FG,
Ayoub Semtawa (Huru).
WALIOTOKA
Reliants Lusajo (Mashujaa),
Shiza Kichuya (JKT TZ).
SINGIDA FOUNTAIN GATEWALIOINGIA
(haijawekwa wazi).
WALIOTOKA
Aboubakar Khomeiny (Ihefu)
Kelvin Nashon (Ihefu),
Meddie Kagere (Namungo).
TANZANIA PRISONS WALIOINGIA
George Sangija (Geita Gold)
Tariq Simba (Geita Gold),
Abdulkarim Segeja (Copco FC),
Jacob Benedicto (Mbeya Kwanza),
Feisal Mfuko (Majimaji),
Ally Msengi (Moroka Swallows).
WALIOTOKA
Yusuph Mlipili (haijafahamika),
Omary Abdallah Omary (Mashujaa).
IHEFU WALIOINGIA
Aboubakar Khomeiny (Singida FG)
Kelvin Nashon (Singida FG),
Manu Labota Bola (FC Lupopo),
Amade Momade ‘Amadou’ (UD Songo).
WALIOTOKA
Charles Ilanfya (Mtibwa Sugar),
Shaban Msala (Mtibwa Sugar),
Nassor Saadun (Geita Gold),
Juma Nyosso (Geita Gold),
Never Tigere (haijafahamika).
KMC WALIOINGIA
Abdallah Said Ali ‘Lanso’ (Mlandege),
Akram Omar Muhina (KVZ),
Shaaban Idd Chilunda (Simba),
Peter Banda (Nyassa Big Bullets).
WALIOTOKA
Cliff Buyoya (Pamba),
Andrew Simchimba (Pamba)
JKT TANZANIA WALIOINGIA
Yacoub Suleiman Ali (JKU),
Gamba Idd Matiko (JKU),
Shiza Kichuya (Namungo FC).
WALIOTOKA
John Mwanda (Pamba FC).
GEITA GOLD WALIOINGIA
Ramadhan Kapera (Mbeya Kwanza),
Nassor Saadun (Ihefu),
Juma Nyosso (Ihefu),
Erick Mwijage (West Armenia).
WALIOTOKA
George Sangija (TZ Prisons),
Tariq Simba (TZ Prisons),
Carlos Protas (Biashara United), Abeid Athuman (Biashara United),
Erick Johora (Mashujaa).
MTIBWA SUGAR WALIOINGIA
Justin Ndikumana (Coastal Union),
Charles Ilanfya (Ihefu),
Shaban Msala (Ihefu),
Nassoro Kapama (Ihefu),
Jimmyson Mwanuke (Simba),
Laurent Alfred (Kagera Sugar).
WALIOTOKA
Ladaki Chasambi (Simba).
MASHUJAA FC WALIOINGIA
Nyenyezi Juma (Inter Star),
Emmanuel Mtumbuka (Stand United),
Balama Mapinduzi (Coastal Union),
Abrahaman Mussa (Ruvu Shooting),
Reliants Lusajo (Namungo),
Ibrahim Ame (Huru),
David Richard Uromi (Moroka Swallows),
Omary Abdallah Omary (TZ Prisons),
Erick Johora (Geita Gold).
WALIOTOKA
Mohamed Hamis ‘Demba’ (Mbeya City).
KAGERA SUGAR
WALIOINGIA
(haijawekwa wazi).
WALIOTOKA
Laurent Alfred (Mtibwa Sugar),
Anuary Jabir (Dodoma Jiji).