Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Polisi Tanzania tatizo lipo hapa...

    POLISI Tanzania ni kati ya timu zilizoanza Ligi Kuu Bara vibaya msimu huu hadi sasa imecheza mizunguko tisa ikiwa mkiani, imeshinda mechi moja pekee hadi sasa, sare mbili, vichapo sita na...

  2. Mgunda amtaka Okrah

    KIWANGO bora alichoonyesha mshambuliaji wa Simba, Augustine Okrah kimeonekana kumvutia kocha Juma Mgunda aliyeeleza ubora wake umetokana na mbinu mbalimbali alizokuwa anampatia. Mgunda alisema...

  3. Salama yenu, labda msije

    MWISHO wa ubishi. Mashabiki wa Simba na Yanga, leo hakuna wanachokisubiri ila pambano la timu hizo zinazokutana kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu huu utakaopigwa Uwanja wa Benjamin...

  4. Mpenja: Dabi ya leo moto balaa

    KUNA ambao wanamuita Mwamba wa Umalila. Lakini wengine wanamtambua kwa jina maarufu la Sauti ya Radi. Ila ukitaka jina lake la kiserikali ni Baraka Harrison Mpenja. Huyu ni mtangazaji nguli wa...

  5. Wanatisha! Upepo upo kwao huu

    WIKIENDI iliyopita, Jumapili, Simba na Yanga kila timu ilijua hatima yake kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ilifuzu hatua ya makundi wakiitoa Agosto ya Angola. Yanga wao...

  6. Tshabalala: Imeisha hii

    KAMBI ya Simba imezidi kunoga pale Mo Simba Arena, Bunju kwa mastaa wa timu hiyo wakijiandaa na mchezo dhidi ya Yanga kwa kupigishwa tizi la maana, huku kukiwa na ulinzi mkali wa kutoruhusu mtu...

  7. Mayele: Acheni waje

    YANGA iko kambini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wao Simba, huku Fiston Mayele akisema kwa kauli pana kwamba; ‘“Acheni waje”. Wachezaji wa timu hiyo wamejutia matokeo...

  8. Phiri, Okrah waahidi makubwa Dabi

    ACHANA na ushindi walioupata Simba dhidi ya Primeiro de Agosto na kuwavusha hatua ya makundi, unaambiwa kikosi hicho kwa sasa akili zao wamezielekeza mechi dhidi ya Yanga itakayopigwa Jumapili...

  9. Mo Dewji aamua kukomesha, mastaa wapagawa

    BAADA ya kuwaondoa Primiero de Agosto kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wachezaji wa Simba wameanza mazoezi kujiandaa na mechi ya Yanga Jumapili. Lakini kabla hawajatia mguu uwanjani akaunti zao...

  10. Mayele: Sudan pagumu sana

    STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele amesema mazingira magumu waliyokutana nayo kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al Hilal ya Sudan ndiyo yaliyochangia wao kupoteza mchezo huku viongozi wakisisitiza...

Previous

Page 10 of 89

Next