SPOTI DOKTA: Simba vs Yanga na vifo vya ghafla Gumzo kubwa lililotawala wiki hii ni kichapo cha mabao 2-0 walichopokea Yanga dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa katika Uwanja wa Mkapa, Jumapili Aprili 16. Katika mechi...
Majeraha kichwani na madhara yake katika soka SIKUKUU ya Pasaka iligeuka huzuni kwa wadau wa soka mkoani Songwe mara baada ya kutokea ajali ya kimichezo ya kugongana na mwenzake uwanjani na kusababisho kifo cha mchezaji wa Saza FC, Albert...
SPOTI DOKTA: Hakuna namna mastaa lazima wapumzike USIKU wa Jummane katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilijiweka pagumu kupata tiketi ya Afcon mara baada ya kuruhusu kufungwa bao 1-0 na Uganda katika dakika za...
RIPOTI MAALUMU: Ushirikina, ngono watesa wanasoka Bongo , lishe bora na mazoezi maalumu kutoka kwa wataalamu na akikosa vitu hivyo atachelewa kupona na hata akipona tatizo linaweza kujirudia. UDANGANYIFU WA UMRI Dk Samwel Shita...
SPOTI DOKTA: Theluji inavyoweza kuathiri kiwango cha soka KATIKA mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa kati klabu ya Yanga na US Monastir ya Tunisia mvua ilinyesha kuanzia alfajiri hadi mchana. Mechi...
SPOTI DOKTA: Bila uzito mwepesi vigumu kunyumbulika WAKATI Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola anatua katika klabu hiyo akitokea Bayern Munich alionekana ni muumini wa wachezaji ambao ni wepesi kunyumbulika uwanjani. Aina ya...
Hii ni sababu ya kifo cha Mobby TASNIA ya soka hapa nchini ilipata pigo mara baada ya aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Mobby kufariki dunia siku ya Jumapili Machi 5, 2023 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini...
Faida na hasara za mbio za marathoni hizi hapa KILELE cha mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2023 kilikuwa ni Jumapili iliyopita katika Uwanja wa Ushirika, mjini Moshi ikishirikisha wakimbiaji toka ndani na nje ya nchi. Mashindano haya...
SPOTI DOKTA: Tishio la ndumba uwanjani liko hivi... Historia ya mambo ya ndumba au juju ama kwa neno sahihi zaidi ni imani za kishirikina ambazo katika soka la Bongo haikuanza leo wala jana, bali ni tangu miaka hiyo ya uanzishwaji wa Ligi Kuu...
Faida za mazoezi ya viungo hizi hapa IWE ni mwanamichezo au mtu yeyote yule anayefanya mazoezi kwa afya anahitaji kufanya mazoezi ya viungo kila mara katika maisha ya kila siku. Bila mazoezi ya viungo kungelikuwa na idadi kubwa ya...