Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24636 results for tanzania :

  1. Yanga, Simba wameanza usajili

    DIRISHA dogo la usajili nchini Tanzania linafunguka leo. Ndani ya mwezi huo mmoja wa kusajili lolote linaweza kutokea ikiwemo staa Clatous Chama kutua Simba au Yanga akitokea Berkane ya...

  2. TIBOROHA: Azam ina mchango mkubwa Ligi Kuu

    MPIRA ni sayansi. Hiyo ni kauli ya mkurugenzi wa Ufundi wa Azam FC, Dk Jonas Tiboroha anayeamini ndiyo dira ya mafanikio katika mchezo huo.

  3. Mayanga atoweka Prisons, anukia Mtibwa

    KOCHA wa Prisons, Salum Mayanga ametimka ndani ya klabu hiyo huku taarifa zikidai muda wowote kuanzia sasa atatangazwa kuwa kocha mpya wa Mtibwa Sugar.

  4. Kocha Simba atoa faili la ubingwa

    SIMBA imebadilika! Ni kauli ya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco ambaye amesema tangu amekichukua kikosi hicho timu imeimarika, lakini amelia na eneo la ushambuliaji.

  5. Mayele aibua jambo Yanga

    MJADALA mkubwa wa mechi ya Simba na Yanga iliyomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi iliyopita umeendelea kuwa ni ile bato ya straika Fiston Mayele na mabeki Joash Onyango...

  6. Makambo amerudi, Yanga ileee!

    AMEANZA. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya straika Heritier Makambo kuanza kikosi cha kwanza katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la Shirikisho (ASFC) na kupiga hat trick na kuivusha Yanga...

  7. Simba yaanza vyema Kombe la ASFC

    MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) Klabu ya Simba imeanza vyema michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya JKT Tanzania katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  8. Yamefichuka udhamini wa GSM

    Mtume Muhammad (SAW) anasema ubawa mmoja wa inzi una maradhi, mwingine una dawa. Kwa hiyo inzi akitua kwenye glasi yako ya maziwa usiyamwage...mtoe, endelea kuyanywa kwa amani.

  9. Mbeya Kwanza yatoa gundu Sokoine ikiilaza Mwadui

    Kabla ya ushindi huo, Mbeya Kwanza ilikuwa imecheza mechi tano bila kuonja ushindi katika uwanja wa Sokoine Mbeya na leo kwa mara ya kwanza imeibuka na ushindi.

  10. Pablo na sapraizi nyingine kwa wanasimba

    Kocha wa Simba, Pablo Franco huwa hazoezeleki maana kila mchezo huwa anakuja na sapraizi mpya kwa mashabiki.

Previous

Page 873 of 2464

Next