Mafua, homa tishio Ligi Kuu Bara kuliangalia kwa jicho la tatu,” alisema Mgweno. Naye mwenyekiti wa Mtibwa Sugar, Nassoro Aboubakary alisema walisikitishwa na Bodi ya Ligi (TPLB) kushindwa kusogeza mechi yao ya jana dhidi ya...
Wazawa wanaoupiga mwingi Ligi Kuu mwanzo mzuri, lakini kufuatia kungíara kwa nyota huyo kumeifanya timu kujinasua mkiani na kupanda hadi nafasi ya nane. Straika huyo amewaficha mastaa wanaocheza soka la kulipwa nchini na kuamsha...
MZEE WA UPUPU: Azam FC inakosa watu wa mpira kama kuna siasa za mpira, fitna za mpira, figisu za mpira na kadhalika. Mpira ni mchezo wa dakika 90 zinazoandaliwa kwa zaidi ya dakika 800 na kuchezwa ndani na nje ya uwanja. Bahati mbaya sana...
Wanaoongezewa mikataba Yanga hawa hapa... Yanga itawaongezea mikataba mipya nyota wake zaidi ya watatu huku kocha Nasreddine Nabi akimuweka kiporo, Adeyum. Mbali na kuwaongezea mikataba mipya nyota hao akiwamo Zawadi Mauya, Kibwana...
Nabi atawaua mwaka huu HII Yanga ya mwaka huu itawaua watu kwa presha, ndio tambo za mashabiki kwenye vijiwe na mitandao ya kijamii baada ya mabingwa hao wa kihistoria kupindua meza na kushinda 2-1 ugenini dhidi ya...
Mtibwa, Polisi kuamua krismasi leo LEO kwenye Uwanja wa Gairo Morogoro, Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania zitakuwa zikichuana kutafuta matokeo ambayo yatazifanya kula sikukuu ya Krismasi bila mawazo. Hiyo ni kutokana na pointi...
Kipa Prisons: Huyu Fei Toto hafai ACHANA na ushindi wa Yanga juzi, unaambiwa kipa wa Tanzania Prisons, Benedict Haule hawezi kumsahau kiungo Feisal Salum aliyemhangaisha kwa mishuti yake ya mbali na kumnyima raha golini.
Yaliyobamba 2021: Simba na Chama, Yanga na Mayele MWAKA 2021 unayoyoma hivyo kwani zimebaki siku 13 kabla ya kuuaga ili kuupisha 2022.
Kisubi akubali yaishe Msimbazi, atimka zake WAKATI kipa, Aaron Kalambo akiwaomba mabosi wake wa Tanzania Prisons kuondoka kikosini kwenye dirisha hili dogo la usajili, kipa wa Simba Jeremiah Kisubi ambaye hajacheza mechi hata moja ya...
Sure Boy, Nkane rasmi Yanga YANGA imetua jana jijini Mbeya tayari kwa safari ya kwenda mjini Sumbawanga kuwafuata maafande wa Tanzania Prisons, lakini kabla ya kupaa walifanya fasta kuchukua mashine mbili za kazi, huku...