Failuna ashindwa kutamba Karatu kumaliza wa saba. Baada ya kumaliza mbio hiyo, Failuna alilazimika kupewa huduma ya kwanza kufuatia kuishiwa nguvu tofauti na washiriki wengine. Nyota wengine waliochuana ni Mayselina Mbua...
Nyota Madola ageukia muziki Mwanariadha nyota wa zamani na mshindi wa medali ya fedha ya marathoni kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola ya 1998, Saimon Mrashani ameibukia kwenye muziki wa injili. Mrashani ambaye pia amewahi...
Diarra aukubali mziki wa Kagere huangukia ama kupita. “Yule mshambuliaji wa Simba (Kagere) ndiye mshambuliaji hatari, kwani utamuona mbele ya lango kwenye nafasi sahihi, jambo ambalo ni hatari zaidi kama kipa hawi makini, kwani...
Kinda Cambiasso apata dili England hicho kukuza vipaji na kuvitafutia timu. “Tumekuwa tukifanya hivi kwa wachezaji mbalimbali na tumefanikiwa kuwapatia timu, tunafanya hivi kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa na wachezaji...
Msuva amjaza upepo Fei Toto NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva anayecheza kwa sasa Wydad Casablanca amemjaza upepo kiungo fundi wa Yanga, Feisala Salum ‘Feitoto’ anayetajwa kuhitajiwa na klabu ya Difaa El...
Simba kubeba kipa wa Yanga SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kusaka kipa mpya, mabosi wa Simba nao wamejiongeza kumnasa kipa wa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Jeremiah Kisubi aliyeomba apekwe kwa mkopo Tanzania...
Geita Gold yaichapa Prisons KLABU ya Geita Gold imetumia vyema uwanja wake wa Nyankumbu baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Maafande wa Tanzania Prisons. Geita wamepata bao hilo baada ya kona...
Simba Queens yaua, Alliance yaweka heshima Nyamagana TIMU za Simba Queens ya jijini Dar es Salaam na Alliance Girls ya Mwanza zimeanza kwa ushindi katika michezo yao ya kwanza Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) iliyofunguliwa leo...
Msimu mmoja, Onyango ni yule yule ya msimu mmoja katika mechi za Kariakoo dabi alizocheza. Mechi ya Desemba 11, 2021 alifanya kazi kubwa ya kupunguza kasi ya straika wa Yanga, Fiston Mayele aliyekuwa anatazamiwa kuwa mwiba kwenye...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Dirisha la usajili linakuja na maswali mazito KILE kipindi kinachosisimua zaidi nchini kimewadia. Kipindi cha usajili. Rafiki yangu mmoja hupenda kutania kwamba Tanzania usajili unavutia zaidi kuliko ligi yake. Ni utani ambao ndani yake...