BRAZIL 2014: Kwanini Brazil ilifungwa mabao saba? HAKUNA uchawi katika soka la kisasa. Uwe ulilitazama pambano la Brazil na Ujerumani ukiwa Tanzania au hapa Brazil, ilikuwa rahisi kugundua kwa nini Brazil imefungwa mabao 7-1 na Ujerumani.
SI MCHEZO: Saa moja ndani ya klabu ya Corinthians >KATIKA Mtaa wa Sao Jorge, nje kidogo ya Jiji la Sao Paulo hapa Brazil ndipo yalipo makazi ya klabu ya Ligi Kuu Brazil, Corinthians. Ni ndoto ya mchana kuwepo eneo hilo. Pindi unapokuwapo...
Heh! Coutinho anafanana na Oscar? >MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye amestuka baada ya kumwona kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Mbrazil, Andrey Coutinho, akadhani wamemsajili Oscar wa Chelsea.
JEMBE: Medel awakabili Brazil na kifaa maalumu mguuni >KWA mujibu wa Kocha wa Chile, Jorge Sampaoli, kama timu yake ingepangwa kucheza na Brazil Ijumaa, basi Gary Medel asingecheza mechi hiyo.
Brazil 2014: Kipa wa Colombia avunja rekodi ya Roger Milla Kombe la Dunia WAKIWA na uhakika wa kuongoza Kundi C, Colombia walifanya kitu cha kuwafanya kuweka rekodi kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea kupamba moto nchini Brazil.
UTAIPENDA: Brazil >WENYEJI Brazil jana Jumatatu walifuzu kwa kishindo hatua ya pili ya fainali za Kombe la Dunia baada ya kuilaza Cameroon mabao 4-1 na kushika usukani katika Kundi A wakiwa na pointi saba.
Taifa Stars sasa mguu sawa kambini KIKOSI cha Taifa Stars kinaingia kambini Jumatatu ijayo tayari kwa safari ya kwenda Gaborone, Botswana kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Afrika 2015 dhidi ya Msumbiji.
Brazil 2014: Kufa au kupona England inapokutana na Uruguay leo NAHODHA wa Uruguay, Diego Lugano amesema kwamba mechi yao ya leo Alhamisi dhidi ya England inatoa picha ya kufa na kupona kwa timu hizo kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Brazil.
NYUMA YA PAZIA: Eti Wabrazili wanatembelea nyayo za Neymar >JUZI tu nilikuwa nakatiza katika vijiwe vya hapa Sao Paulo na kusimuliwa kisa ambacho sikuwahi kukisikia. Visa vingine havifiki katika vyombo vya habari vya Magharibi na ni vigumu kuvisikia...
Nishimura: Azua gumzo Brazil kwa maamuzi yake tata >KIUNGO, Oscar aling’ara juzi Alhamisi usiku wakati Brazil ilipoichapa Croatia 3-1 kwenye mechi ya ufunguzi ya fainali za Kombe la Dunia iliyofanyika mjini Sao Paulo.