Sakho, Aucho waleta vionjo vipya Bara umiliki wa mpira mbele ya wapinzani wao. “Aina ya uchezaji wa Sakho na Aucho una vitu vinavyovutia macho ya wadau, kutazama kazi zao, mfano Sakho licha ya kutoanza mechi za kwanza za msimu bado...
Utani wa jadi usigeuzwe uhasama uwanjani SOTE tunafahamu huwa mchezo wa soka ndio uliothibitika kuwa na idadi kubwa ya wadau zaidi duniani kuliko michezo mingine yote ambapo ufuatiliaji wa kila siku wa mechi za ligi na mashindano...
Mwameja: Usajili wa Yanga nusura uniue, Asajiliwa Simba kwa mabati UNAMKUMBUKA huyu Supastaa! Anaitwa Mohammed Mwameja. Kipa mwenye historia ya kipekee kwenye soka la Tanzania na nahodha wa zamani wa Simba.
ZeKICK: Andambwile injinia mpya Mbeya City aliyezivuruga Simba, Yanga UZOEFU wa kucheza soka la kulipwa Malawi akiwa na klabu ya Nyasa Big Bullets FC, umetajwa na nyota wa Mbeya City, Aziz Andambwile kuwa chachu ya kuendana na patashika za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Simbu aingia kumi bora RAK Half Marathon Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alfonce Felex Simbu amefanikiwa kuingia katika nafasi kumi bora katika michuano ya kimataifa ya RAK Half Marathon yaliyofanyika nchi za Umoja wa Falme za...
Simba yaleta staili mpya Caf KWA mara ya kwanza kwenye miaka ya hivi karibuni safari hii, Simba itacheza mechi ya kwanza ugenini kwa staili ya aina yake. Kutokana na ishu za usafiri hawatakuwa na ratiba ndefu Niger na...
300 washiriki mbio za Tayac Arusha Zaidi ya watoto 300 kutoka shule mbalimbali za Mkoa wa Arusha wameshiriki katika mashindano ya mbio za uwanjani ambazo zimeandaliwa na taasisi ya Tanzania Youth Athletics Championship...
LIVE: Yanga wana jambo lao na Wabunge Klabu ya Yanga leo Feb 18 itafanya uzinduzi wa kadi mpya za Uanachama za kielektroniki kwa Wabunge wa Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wanachama wa Yanga.
RIPOTI MAALUMU: Mapya kifo cha Sonso KUNA misiba lakini kuna msiba wa aliyekuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Ali Mtoni ‘Sonso’. Namaanisha nini? Namaanisha ipo misiba ambayo ikitokea unasema kazi ya...
Yanga yahamishia mchakato Bungeni Klabu ya Yanga leo Feb 18 itafanya uzinduzi wa kadi mpya za Uanachama za kielektroniki kwa Wabunge wa Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wanachama wa Yanga.