Prisons, Mtibwa Sugar hakuna mbabe Mbeya. Uwanja wa Sokoine Mbeya umeendelea kuwa mgumu kwa Tanzania Prisons baada ya leo tena kushindwa kuutumia vyema kwa kuambulia suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mtibwa Sugar. Huo...
KESSY: Miaka 12 na Asha Mwalala ni raha tu nafasi hadi nilipoomba kupewa muda kwenye Kombe la Mapinduzi,” anasema na kuongeza; “Nilionyesha uwezo mkubwa Mapinduzi nikitarajia nitapata nafasi tukirudi Ligi Kuu haikuwa hivyo hadi Juma...
HISIA ZANGU: Tuisila na mbio zake amefanikiwa Berkane mlango wa Simba, Aishi Manula. Anaitendea haki nafasi yake. Juzi alifanya kosa moja la kitoto lakini kwa ujumla Aishi amekomaa. Anastahili kuwa Tanzania One kwa sasa. Kuna wakati alikuwa...
KESSY: Nilizushiwa kifo, turubai likafungwa SAFARI ya soka na maisha ya beki wa KMC, Hassan Kessy kwa ujumla yamejaa kicheko, simanzi lakini hakuwahi kukata tamaa kupambania ndoto zake.
Masoud subirini itakuwaje UONGOZI wa Dodoma Jiji umempa mkataba wa miezi sita kocha wao mpya Mrundi, Masoud Djuma ambaye atakuwa hapo kwa muda huo na lengo la kwanza ni kuhakikisha ‘Walima Zabibu’ hao hawashuku.
SIO ZENGWE: Ya Kenya, Zimbabwe yaweza kurudi Tanzania WIKI iliyopita Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) lilitangaza kuzifungia Kenya na Zimbabwe kushiriki katika mchezo huo kimataifa baada ya serikali za nchi hizo kuingilia masuala ya mpira wa miguu.
Makamu wa Rais SMZ aongoza mazishi ya baba yake Ghalib Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Themed Suleiman Abdullah ameshiriki mazishi ya Baba mzazi wa mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed, marehemu Said Mohamed sambamba na mamia ya...
Shabiki waSimba, Arsenal ashinda Sh176.5 millioni M-BET Shabiki wa klabu ya Simba ya Tanzania na Arsenal, Swalehe Enzi ameshinda kitita cha sh 176,470,910 kupitia mchezo wa kubashiri wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania.
MJUAJI: Rais alitaka Simba, Yanga jengo moja UTAJUA haujui. Wanasiasa huwa na mambo yao! Mara nyingi huja na mipango ambayo wakati mwingine haiwezekani kutekelezeka.
MTU WA MPIRA: Ujenzi wa Uwanja Simba umekaa kisiasa Jumamosi moja yenye heka heka hivi ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Ni Jumamosi ya Desemba 11 mwaka jana. Ilikuwa Jumamosi ya pambano la watani wa Jadi Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.