Mtanzania kusaka viwango vya michezo ya Madola Afrika Kusini Mwanariadha wa paralimpiki, Sauda Njopeka amepata nafasi ya kushiriki mafunzo na mashindano ya kutafuta viwango vya kushiriki michezo ya Jumuiya ya Madola.
Kikao cha FINA na Tanzania chazaa matunda katika mchezo wa kuogelea nchini Shirikisho la Mchezo wa Kuogelea Duniani leo Machi 15, 2022 limeridhia kutoa ufadhili wa kuboresha miundombinu mbalimbali ya mchezo wa kuogelea hapa nchini, masomo na mafunzo ya mchezo wa kuogelea...
Simba ya kimataifa ni habari nyingine SIMBA ya kimataifa ni habari nyingine. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, jana waliupiga mwingi na kubakisha pointi tatu nyingine nyumbani baada ya kuichapa RS Berkane...
Mbio za Ubingwa Ubelgiji zakolea MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta anakaribia kucheza mchujo wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Ubelgiji ‘Jupiler Pro’ akiwa na chama lake Royal...
JKT Tanzania yasogea nafasi ya tano JKT Tanzania imepanda nafasi ya tano kutoka ya saba, kwenye msimamo wa Ligi ya Championship, baada ya kuitandika Pan African kwa mabao 2-1, mchezo uliopigwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Yanga yashtuka, Senzo afichua siri VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaendelea kupiga hesabu zao za ubingwa msimu huu, lakini ghafla wakashtukia jambo baada ya kuenea tetesi straika wao mkali wa kufumania nyavu, Fiston Mayele...
MJUAJI: Mgogoro wa Yanga ni bifu la Tambwe Leya na Sunday Manara KWANZA napenda kuwaomba radhi wasomaji wa safu hii kwa kosa la kuandika mgawanyiko wa Yanga uliwafanya wachezaji kujiunga na Mseto ya Morogoro. Ukweli ni kwamba walijiunga na Nyota Afrika ya...
Mambo 10 wasiyoyafahamu rafiki zako kuhusu Vanessa Kwa kipindi cha takribani miaka saba katika muziki wa Bongofleva, Vanessa Mdee alijipambanua kama msanii mwenye kiu ya kulikamata soko la kimataifa, na kweli alifanikiwa kwa kiasi chake.
TUONGEE KISHKAJI: Diamond anaimba na kutafuta wateja ALHAMISI hadi saa sita usiku nilikuwa macho nasubiri kusikiliza EP ya Diamond. Kuwa macho hadi saa sita usiku haishangazi, ila kuwa macho hadi muda huo kwa ajili tu ya kusikiliza EP imekaa...
MTU WA MPIRA: Wachezaji wengi Simba wazee, hawawezi kubeba taji la Afrika NANI atasimama na kuwaambia Simba ukweli? Hakuna. Watu wengi wamejawa woga na hofu katika mioyo. Wanaishi kwa kudanganyana. Lakini ukweli ni kwamba wachezaji wengi Simba wamechoka na umri umekwenda.