Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24794 results for tanzania :

  1. Msuva azikimbia Simba, Yanga

    Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva amezima uvumi wa kuzitumikia klabu kongwe za Simba na Yanga akisema hana mpango wa kucheza soka nchini kwasasa.

  2. Simba yajipa siku 10 kali, yaomba mastaa wake Stars

    SIMBA wamesisitiza kwamba wanajua chakufanya ndani ya siku 10 kuanzia leo kabla ya kucheza mechi muhimu ya kufuzu robofainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya USGN Jijini Dar es Salaam.

  3. Yanga inabeba huyu mwamba

    SIMBA imetua juzi ikitokea nchini Benin ambako walipoteza kwa mabao 3-0 lakini mtu ambaye aliwafunga Wekundu hao nyumbani na ugenini watani wao Yanga wameanza hesabu kali za kumshusha msimu ujao.

  4. Taifa Stars yaichapa Afrika ya Kati

    TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliomalizika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

  5. Novatus aipeleka Stars mapumziko kifua mbele

    BAO la Frikiki ya moja kwa moja lililofungwa na kiungo Novatus Dismas dakika ya tisa limetosha kuipeleka mapumziko timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya...

  6. Sababu mechi ya Stars kuchelewa hii hapa

    Kumetokea hali ya sintofahamu baada ya mechi ya Taiga Stars dhidi ya Afrika ya Kati kuchelewa kuanza kama ambavyo ilivyopangwa.

  7. Djuma, Makambo, Moloko, live kwa Mkapa

    NYOTA watatu wa Yanga, Wakongomani Djuma Shaban, Herriter Makambo na Jesus Moloko ni miongoni mwa watazamaji waliopo Uwanja wa Benjamin Mkapa kutazama mechi ya Kirafiki ya Kimataifa kati ya timu ya...

  8. Mnoga, Starkie waanza Taifa Stars

    KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ametoa kikosi kitakachoanza kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Afrika ya Kati huku akiwaanzisha makinda wawili Haji Mnoga...

  9. Baada ya miaka 19 ya Sauti za Busara yafikia mwisho

    Baada ya miaka 19 ya kusherehekea utamaduni na muziki wa Kiafrika, pazia la sauti za Busara linafungwa.

  10. HISIA ZANGU: Manula analipa uwekezaji wetu kwake kwa usahihi

    TUANZE na wapi? kuhusu Aishi Manula au namna ambavyo kundi la Simba limekaa baada ya Wekundu wa Msimbazi kuambulia kichapo cha mabao 3-0 pale Benin kutoka kwa wababe wa soka la Ivory Coast, Asec...

Previous

Page 844 of 2480

Next