Al Ahly, Mamelodi Sundowns zatinga nusu fainali, zakomaa ugenini Al Ahly na Mamelodi Sundowns jana zimeweza kuzidhibiti Al Hilal na Esperance kupata ushindi dhidi yao katika mechi za marudiano za hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa...
Inter Milan yainyemelea nusu fainali Ulaya, yaibanjua Bayern Inter Milan imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Bayern Munich jana.
Bellingham: Tuna bahati kufungwa bao 3 tu, zingekuwa nyingi KIUNGO nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham amesema timu yake ilikuwa na bahati sana kufungwa mabao matatu tu katika mechi yao ya mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Arsenal kuibamiza Madrid mbona kawaida JANA Arsenal ilifanikiwa kuichapa Real Madrid mabao 3-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kilikuwa kipigo cha kushtusha kwa mashabiki wa soka...
Kumbe Van Dijk anabaki Anfield BEKI kisiki na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk ameweka wazi kwamba yupo karibu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia katika viunga hivyo kwa muda mrefu zaidi.
Yamal kuharibu mipango ya Arsenal STAA wa Barcelona, Lamine Yamal anadaiwa kuwa kutibua mipango ya Arsenal katika harakati za kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams kwenye dirisha...
Kuna shughuli nzito EPL, Man City yatajwa KATIKA kinyang’anyiro cha Ligi Kuu England, baada ya ishu ya ubingwa, kuna vita nyingine inaamuliwa. Nani atashinda, ndiyo hadi filimbi ya mwisho.
Tanzania Prisons itaishusha KenGold Sokoine leo? KATIKA uwanja wa Sokoine, Mbeya Kengold FC ambao wanaburuza mkia wakiwa na pointi 16 watakuwa na mtihani mgumu dhidi ya Tanzania Prisons, walioko nafasi moja juu yao wakiwa na pointi 21.
Penzi la staa Bongo lilivyomtokea Savanna puani Dar es Salaam. Wakati baadhi ya watu wakidhani anachokifanya Savanna Benson ‘Rais wa First Year’ ni maudhui tu. Mtengeneza maudhui hayo ya mtandaoni anasema kila anachokifanya kwenye mitandao...
Bei ya tiketi Uefa ni balaa MASHABIKI wa soka wameliwakia Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) kwa kupandisha bei za tiketi za fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.