Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9615 results for Mwandishi :

  1. Cristiano Ronaldo awavaa mashabiki

    CRISTIANO Ronaldo ametaka mashabiki waliohusika na vitendo vya kumdhalilisha Ruben Neves, wakati wa mchezo kati ya Al Taawoun na Al Hilal wapigwe marufuku kuhudhuria mechi maisha yao yote.

    RONALDO Pict
  2. Namba sita mpya Yanga hii hapa

    YANGA wakati wowote itaweza kumtambulisha kiungo wake mpya mkabaji, Fred Duval Ngoma, baada ya kufikia makubaliano yote ya msingi.

    NAMBA 6 Pict
  3. Azam FC yaruka kihuzi kimoja Kombe la Shirikisho

    Azam FC itaanzia hatua ya kwanza katika kampeni yake ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuthibitisha kuwa haitaanzia hatua ya awali ya...

  4. Henry ampigia saluti Lionel Messi

    NGULI wa Ufaransa, Thierry Henry, ameshindwa kuficha hisia zake baada ya Lionel Messi kuiongoza Argentina kuichapa England mabao 2-1 na kutinga fainali ya Kombe la Dunia.

    HENRY Pict
  5. Real Madrid yaweka Pauni 120 Bilioni kwa Diomande

    REAL Madrid imefikia makubaliano ya kumsajili winga chipukizi wa RB Leipzig, Yan Diomande, katika dili linaloweza kufikia euro 140milioni (takribani Pauni milioni 120), baada ya mazungumzo ya...

    MADRID Pict
  6. Szoboszlai atoa darasa la faulo

    KIUNGO nyota wa Liverpool, Dominik Szoboszlai amemuonyesha mchezaji mwenzake Harvey Elliott jinsi ya kupiga mpira wa adhabu (free-kick) kwa ustadi wa hali ya juu, na matokeo yake yamewavutia...

  7. Nyota England ashtakiwa kwa kupiga mtu

    MCHEZAJI wa timu ya taifa ya England na Al-Ahli ya Saudia Arabia, Ivan Toney, amefunguliwa mashtaka ya kushambulia mtu kufuatia tukio lililotokea katika klabu ya starehe eneo la Soho, London...

    TONNY Pict
  8. Bruno Guimaraes atua kambini Newcastle, dili la Arsenal lapamba moto

    Nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimaraes, anatarajiwa kujiunga na kambi ya mazoezi ya timu hiyo nchini Hispania huku tetesi za kuhamia Arsenal zikiendelea kushika kasi.

  9. England, Wales zamgeuka Infantino mbio za urais FIFA

    Chama cha Soka cha England (FA) kimeungana na Shirikisho la Soka la Wales kupinga azma ya Gianni Infantino ya kugombea tena urais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

    ENGLAND Pict
  10. Simba Day 2026 kufanyika Uwanja wa Uhuru Agosti 8

    Klabu ya Simba imetangaza kuwa kilele cha tamasha la Simba Day 2026 kitafanyika Agosti 8, 2026 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, huku kikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 90 tangu...

    WAWI 03
Previous

Page 76 of 962

Next