Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

701 results for Damian Masyenene :

  1. Geita Gold inataka watano tu

    SAFARI ya Geita Gold kurudi Ligi Kuu inazidi kupamba moto, huku uongozi wa klabu hiyo ukitamba unataka kutumia dirisha dogo kushusha wachezaji watano wa maana kuongeza nguvu kikosini ili kutimiza...

    Geita Pict
  2. Nchimbi, wenzake waikacha Biashara United

    MIEZI michache baada ya aliyekuwa mfadhili na Rais wa Biashara United, Revocatus Rugumira kujiweka kando na kuirejesha timu hiyo kwa wananchi mambo yameanza kuwa magumu ikishindwa kujiendesha na...

    Nchimbi Pict
  3. Beki Mkongo ajishtukia Dodoma Jiji

    BEKI wa kati raia wa DR Congo, Heritier Lulihoshi ni kama amejishtukia baada ya kusema anahitaji muda zaidi wa kuonyesha kiwango chake, licha ya kukiri kuna ushindani mkubwa wa namba kutoka kwa...

    Beki Pict
  4. Minziro atoa msimamo usajili wa Yondani, Kaseke

    WAKATI Pamba Jiji ikihusishwa kuwanasa Kelvin Yondani, Deus Kaseke na Habib Kyombo, kocha wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ amefunguka juu ya usajili huo, huku akisisitiza kwamba klabu hiyo...

    Minziro Pict
  5. Chikola akwepa presha ya ufungaji Bara

    LICHA ya kuwa kwenye kiwango bora na kasi kubwa ya kutupia mabao, winga wa Tabora United, Offen Chikola amesema hana malengo ya kujiweka kwenye vita ya kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara...

  6. Malimi asaka rekodi Mtibwa Sugar

    ACHANA na mechi ya jana dhidi ya Mbuni FC ugenini, lakini moto wa Mtibwa Sugar ni mkali kwenye Ligi ya Championship ikipambana kurejea Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku takwimu zikimpa tabasamu kipa...

    Malimi Pict
  7. Minziro: mambo yatakaa sawa

    LICHA ya kufungwa bao 1-0 na Simba juzi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kocha wa Pamba Jiji, Fredy Felix ‘Minziro amesema kwa soka walilocheza vijana wake na ushindani walioonyesha...

  8. Simba yaibanjua Pamba Jiji CCM Kirumba

    Simba leo imeendeleza ubabe katika mechi za ugenini za Ligi Kuu msimu huu huku ikizidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba kwenye Uwanja...

    Mwanza Pict
  9. RC Mtanda ajibu tuhuma za Simba, ambana Ahmed Ally

    Simba ilitoa taarifa kwa umma na kudai kuwa imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji kwa kushirikiana na mkuu huyo wa mkoa kwa kutumia askari...

  10. Kipa Pamba azitamani namba za Diarra, Camara

    WAKATI Pamba Jiji ikijiandaa kuvaana na Simba Novemba 22, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, kipa wa timu hiyo, Yona Amos amesema bado hajajipata na anatamani kuwa miongoni mwa...

    Kipa Pamba Pict
Previous

Page 7 of 71

Next