Visu vitupu Copa America 2019 COPA America imerudi tena kwa mara ya 46, ambapo masupastaa wa nguvu unaowajua wewe na wale usiwajua watakuwapo huko Brazil kuonyesha ubabe kuanzia mwezi ujao.
Sevilla ‘full muziki’ kutua Dar es Salaam kesho Miamba ya Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, Sevilla FC itawasili nchini kesho Jumanne saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba.
Straika Mbaraka Yusuf arejea tena kuongeza makali Azam FC BAADA ya kufanikiwa kuipandisha daraja klabu ya Namungo FC, mshamuliaji Mbaraka Yusuf anatarajia kurejesha makali yake katika timu yake ya zamani ya Azam FC.
Viashiria 7 vya kufeli kwa TFF ya Rais Karia HAKUNA kazi ngumu kama kuongoza. Kuongoza ni kipawa na sio utashi wa mtu. Ni kazi ngumu inayohitaji utulivu, weledi na busara ya hali ya juu. Ndio maana wale waliojaribu kulazimisha kuongoza huku...
Hata kama uhondo wa Afcon ulikuwa hapa FAINALI za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri chini ya miaka 17 (Afcon U-17) yamefanyika kwa mara ya kwanza nchini na kushuhudiwa kikosi cha Cameroon kikitwaa ubingwa huo kwa mara ya pili baada...
Mirambo amtikisa kocha Muangola NDIO Serengeti Boys ilitolewa mapema katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana U17 2019 zilizofanyika Tanzania na Cameroon kubeba taji kwa kuigonga Guinea kwa mikwaju ya penalti...
Karibu Namungo, KMC, Singida United zipo huku KATIKA vijiji vyote vya Lindi huenda muda huu unaposoma Wino Mweusi wakazi wa maeneo hayo wanasherehekea mafanikio ya timu yao ya Namungo FC.
Mirambo alia na CECAFA KITENDO cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kuondolewa mapema kwenye fainali za Afrika (AFCON U17) kimemuachia simanzi Kocha Mkuu wake, Oscar Mirambo...
Vijeba wazua jambo AFCON U17 LICHA ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutumia vipimo vya MRI, ili kuthibitisha umri wa wachezaji kwenye Fainali za Afrika (AFCON U17), wasiwasi wa kutumika kwa wachezaji waliozidi umri kwenye...