Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8446 results for Mwandishi Wetu :

  1. MO Salah amwaga machozi akibeba Misri

    MSHAMBULIAJI Mohamed Salah alishindwa kuzuia hisia zake za kutokwa na machozi baada ya kuiongoza Misri kupata ushindi wake wa kwanza kabisa katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia.

  2. Ancelotti: Sir Ferguson pekee anaweza kunikosoa

    KOCHA Carlo Ancelotti amesema atakubali kukosolewa na mtu mmoja pekee anayemwona kuwa ana sifa za kufanya hivyo ni Sir Alex Ferguson.

  3. Everton wamalizana na kiungo Hayden

    EVERTON imemsajili kiungo Hayden Hackney kutoka Middlesbrough kwa ada ya angalau pauni16 milioni.

  4. Mbwa amponza beki Real Madrid

    BEKI wa Real Madrid, Ferland Mendy anakabiliwa na uwezekano wa kufungwa jela baada ya mbwa wake kudaiwa kumjeruhi kijana katika tukio la mashambulizi ya kung'ata watu.

  5. Maumivu ya dakika ya 86 timu tatu Afrika

    KATIKA matukio yaliyotikisa mashabiki wa soka duniani, timu tatu za Afrika zimeondolewa kwa maumivu makubwa katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuruhusu mabao ya ushindi...

    MAUMIVU Pict
  6. Mambo matano magumu kwa Maresca

    KOCHA mpya wa Manchester City, Enzo Maresca ameshaanza kazi, akiweka sawa mambo kabla ya kuanza na mechi ya ufunguzi wa msimu wa 2026/27 ambayo itakuwa Ngao ya Jamii itakayopigwa Agosti 18, mwaka...

    MARESCA Pict
  7. Argentina yatinga 16 Bora, Messi akiendeleza rekodi

    Argentina imefuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa kusisimua uliomalizika baada ya dakika 120 kwenye Uwanja wa...

    ARGENTINA Pict
  8. Salah ang'ara, Misri yatinga 16 Bora

    Timu ya Taifa ya Misri imeandika historia kwa kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya kuiondoa Australia kwa ushindi wa penalti 4-2, kufuatia sare ya bao 1-1...

    MISRI Pict
  9. Ghana yaaga Kombe la Dunia, Colombia kuvaana na Uswisi 16 bora

    Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, imeaga Kombe la Dunia 2026 baada ya kuchapwa bao 1-0 na Colombia katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kansas City, Missouri, Marekani.

    GHANA Pict
  10. England inaporejea Azteca ikikumbuka ‘bao la mkono wa Mungu’

    MARA tu droo ya Kombe la Dunia ilipokamilika mjini Washington, Marekani, Desemba mwaka jana, tarehe iliandikwa kwenye kalenda na kuwekewa alama nzito na mashabiki wote wa England waliotarajia...

    ENGLAND Pict
Previous

Page 54 of 845

Next